Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EXACTLY 💯Kama washauri wapo huenda hawasikilizwi.
Bashungwa kwa ujumla tangia awali hafai nafasi za kisiasa.
JAFO ACHA KUJI PULLKwa kweli jafo anastahiki kuwepo wizara ya tamisemi sio huko kwenye mazingira
Jafo habari za muda bwana!!!karibu hapa tamisemi naona umepamiss...by the way sisi watumishi wa idarani tumekumiss piaHizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala.
Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane.
Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa.
Hawa jamaa wanatudharau sana,
Siku hizi hakuna hata kiongozi mmoja mzalendo...woteyes katika hoja zote za wachangiaji naunga mkono hoja yako, hakuna kiongozi hata mmoja serikalini wote ni wapigaji tu kama wapga dili wengineSiku hizi hakuna hata kiongozi mmoja mzalendo...wote wapigani tu.