Kipimo cha HIV/AIDS (Bioline) kinaweza kutoa majibu sahihi hata ukitumia water for injection (maji ya kuchanganyia dawa za sindano) badala ya buffer

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Niliwahi ambiwa na wataalamu wa hospital DOCTORS AND NURSES..Kuwa ukipima HIV/AIDS
kwa kutumia kipimo cha Bioline ukikosa maji yake..unaweza kutumia hata water for injection na majibu yakatoka sahihi

Nakiri ni kweli baadhi ya sample niliwajaribu kuzipima kwa kutumia buffer pia sample izo izo nikapima kwa water for injection majibu niliopata yaliwiana sawia kabisa
 
Inategemea na contents zilizopo kwenye Buffer na Water for injection kama zinafanana hapo inawezekana kusiwe na shida.

Mimi nilijaribu kutumia Buffer ya MRDT zilizotengenezwa na kampuni ya Abbott nikaitumia kwenye SD Bioline (HIV) ya kampuni hiyohiyo ya Abbott zikafaa kutoa majibu Negative.

Ila nilipojaribu kutumia Buffer hiyo ya MRDT kwenye SD Bioline(HIV) ya kampuni ya Standard Q - Ilitoa week Positive. Hivyo nikabaini matumizi ya Buffer isiyo ya kit husika inaweza kukupa majibu yasiyo sahihi. Ni heri utumie Serum pekee bila kuweka Buffer
 
Lakini kazi ya buffer ni kuflash damu isongee kwenye antigen zilizoweka kwenye kipimo ili ipatikane reaction ya antgen na antbody
 
Hata ukiacha damu peke bila chochote majibu kitasoma pia. Ila utachelewa
 
Clotting time ngapi?
I dont know but nshawai fanya research haileti matokeo ila serum inakubari

Sababu time ya kusoma kipimo atleast robo saa mpaka nusu saa
 
rudia research yako
 
Back
Top Bottom