Lakini kazi ya buffer ni kuflash damu isongee kwenye antigen zilizoweka kwenye kipimo ili ipatikane reaction ya antgen na antbodyInategemea na contents zilizopo kwenye Buffer na Water for injection kama zinafanana hapo inawezekana kusiwe na shida.
Mimi nilijaribu kutumia Buffer ya MRDT zilizotengenezwa na kampuni ya Abbott nikaitumia kwenye SD Bioline (HIV) ya kampuni hiyohiyo ya Abbott zikafaa kutoa majibu Negative.
Ila nilipojaribu kutumia Buffer hiyo ya MRDT kwenye SD Bioline(HIV) ya kampuni ya Standard Q - Ilitoa week Positive. Hivyo nikabaini matumizi ya Buffer isiyo ya kit husika inaweza kukupa majibu yasiyo sahihi. Ni heri utumie Serum pekee bila kuweka Buffer
Damu ni ngumu inawai kuclot labda serumHata ukiacha damu peke bila chochote majibu kitasoma pia. Ila utachelewa
Clotting time ngapi?Damu ni ngumu inawai kuclot labda serum
I dont know but nshawai fanya research haileti matokeo ila serum inakubariClotting time ngapi?
rudia research yakoI dont know but nshawai fanya research haileti matokeo ila serum inakubari
Sababu time ya kusoma kipimo atleast robo saa mpaka nusu saa