Kipimo cha HIV na taaruki niliyoipata

Kipimo cha HIV na taaruki niliyoipata

Ila sio siri nilitumiaga hizi condom za serikali zilinipa vipele na mpka nikaenda hospitali nikapima gono kaswende uti na ukimwi sikua navyo ila doc akashauri bora uache au ununue condom tofaut na hizi zinazoitwa zana. Nilijuta sana na Mungu mkubwa wife alikua kasafiri ila kingenuka sana asee
Halafu zina pasuka haraka
 
Kama mwezi umepita nilipo pata lile tukio la dharura ikanibidi haraka niwahi kuomba PEP, nikapatiwa ikabidi ni kae zaidi ya mwezi mmoja ili nipime kama hali koje

Jana nikajitoa mhanga nikajipima, majibu yakawa clear yani mstari mmoja, kile kipomo sikukitupa nikawa bado nimekiacha mezani nikatoka nyumbani baada ya kurudi nikakuta mistari mitatu kwakweli nilitaka kuzimia.

Nikaamua kurudia mara mbili sababu nikikuwa na vipimo vitatu, vyote viwili nilivyo rudia mwanzo havikuonesha mistari zaidi ya mmoja lakini baadae vikaonyesha mistari miwili

Nilidhani niko na kujiamini, kweli sikuwa na kujiamini kabisa nilitaka kuzimia kwa hofu kubwa.

Leo nikajitutumua kwenda kule kwenye kituo cha afya ili nikafungue file kufika kule nikawambia kwamba hali sio nzur. Wakasema wanipime, walipo nipima wakanaimbia mbona hakuna nikawaambia bado muda sababu majibu yana kuja baada ya dakika 30

Wakaniambia hivi vipimo vipya, inapaswa usivisome baada ya dakika 20 zaidi ya hapo majibu yana kuja sio, hivyo usihofu. Mpaka dakika hii bado nina tetemeka ninataka kwenda kutoa damu nyingi niangaliwe vizuri zaidi
Vipimo vya ukimwi havitakiwi kukaa zaidi ya dakika 20 baada ya kupima, ndani ya dakika tano soma majibu yako then katupe kusikojulikana, mtakuja mfe na presha😂😂😂, wewe ni mzima kula maisha kula bata kula mbususu kwa akili.
 
Hivi huwa mnapima ili mgundue nini? Na ulivyo boya unarudia mara mbili mbili!
 
Vipimo vya ukimwi havitakiwi kukaa zaidi ya dakika 20 baada ya kupima, ndani ya dakika tano soma majibu yako then katupe kusikojulikana, mtakuja mfe na presha😂😂😂, wewe ni mzima kula maisha kula bata kula mbususu kwa akili.
Ukweli nusu nizimie kuona kimebadilika nina kushukuru kwa maelezo yako
 
Vijana tupunguze ngono zembe hali si shwari ata kidogo kuuza mechi ni noma sana mwisho wa siku tunaanza kuishi kwa ofu
 
Kumbukeni kondomu jmn HV unawezaje kwenda kuloweka mboo yako sehemu ambayo imelowekwa Zaid ya mboo 30 kwa mwezi

Never hata nikimpimaga mtu Bado simuamini kbsa
 
Back
Top Bottom