Kipimo cha HIV

Kipimo cha HIV

bado hueleweki............ yaani ukienda unapimwa mara mbili ama nini? tafadhani andika kwa kirefu na kwa kiswahili sentensi zote....
Mkuu maabara ukipimwa kipimo cha kwanza kikionesha utata i.e kuchora 2 lines wanarudia na kipimo cha aina nyingine. Nacho kikionesha 2 lines basi confirmed. Ila kikileta utata as kikichora 1 line then unaenda kwenye kipimo kikubwa zaidi kinachoweza kutoa majibu even within the window period.

So for this case ni vyema muhusika akaenda kwenye hospitali zinazotoa huduma ya kipimo kikubwa
 
Nashukuru sanaaa mkuu ubarikiwe nimekuelewa vyema
 
Kwani yeye anapenda jibu lipi zaidi?
Negative au positive?
Kuna wakati nawe utakutana na jibu hili ndugu alafu utalisikilizia linavyopenya kwa mpenyo maridhawa moyoni.
Hili janga waweza dhani ni mashuhuri wa kujikinga lakini kumbuka tu ndege mjanja ananaswa kwenye tundu bovu.

Kama mpaka ulipo fika unajiona umzima kwa ujanja wako na sio mapenz ya Mungu then better ukaendelea kuwa mjanja ila sasa usikutane na tundu bovu ndugu
 
Sema "vema akarudia" maana mleta mada ndio muhusika ila katumia tu maneno ya rafiki yangu
Hata kuwa muusika haina tatizo kwani hujafa hujaumbika

Ila ukweli nikwamba ni ndugu yangu mwenye tatizo ilo

Aliitaji kupata ushauri wakitalaam

Hivyo kwakua jf kunawatu wenye uwezo mbalimbali ndio maana nikawasilisha Uzi
 
Acheni kutaka kumuua mtu kwa vitu vya kipuuzi... Hakuna upuuzi unaoitwa HIV... Ukimwi upo tangu zama za wakina yesu ila huo ujinga unaoitwa HIV hapo kamwe..

Ni biashara za wazungu kututeka na kutuua kisaikolojia ili wafanye biashara za dawa.

Ili uamini suala hili ni la kutengeneza na tunajiua wenyewe subiri uone mabadiliko ya afya ya ndugu yako baada ya kujijua ana huo ujinga.... Tena hali itakuwa mbaya maradufu akianza kutumia zile dawa zao za ARV's
 
Duuh niushauri pia Asante.
 
Habarini za hasubuhi wana jf

Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV

Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa kinasoma negative

Yaan haioneshi ku react sasa anawasiwasi na jibu sahii lakupokea nilipi

Positive or negative ??

Tafadhali kwa wataalamu naombeni ushauri wenu tuweze msaidia mpendwa huyu

Natanguliza shukraan.
Majibu yanayotoka pale ni reactive[+] au non-reactive[-] . hilo neno "reactive" lipo sehemu zote mbili kwenye reactive/non-reactive. Nakushauri soma vzr kwa utulivu, otherwise ukipewa majibu muombe Dr akupe tafsiri na sio ww kutafsiri
 
Nashukur kwa ushauri Namnukuu

Nilienda hospital kama tatu Navipimo vilikuwa vile vile

Chakwanza kilikuwa kina react lkn chapili kina soma negative

Hivyo sijui ukweli niupi hapo??
Iwapo kipimo cha kwanza ulipimwa kwa kutumia kipimo cha SD Bioline na kuonyesha reactive(positive)halafu wakapima kipimo cha pili cha unigold kwa lengo la kuhakiki na kuonyesha non-reactive(negative)basi wewe ni mzima au hauna maambukizi ya HIV.(lakini ni kweli ulipima kwenye kituo au kliniki ya tiba)iwapo ni ndiyo basi upo salama.lakini pia kama ni kweli ulipima kituo cha afya inatia shaka kwakuwa wao walipaswa wakupatie ushauri nasaha na sio kuja hapa jf nawe pia mmh unatia mashaka.
 
Walimueleza kuwa yupo negative aje tenaabaada ya mwezi mmoja

Pia asante kwa maelekezo mkuu .
 
Nashukur kwa ushauri Namnukuu

Nilienda hospital kama tatu Navipimo vilikuwa vile vile

Chakwanza kilikuwa kina react lkn chapili kina soma negative

Hivyo sijui ukweli niupi hapo??
Kumbe mwenye tatizo ni wewe, sasa kwanini unamsingizia ndugu yako??!!
 
Habarini za hasubuhi wana jf

Ninandugu yangu hana raha mpaka sasa kutokana na kipimo cha HIV

Alienda kupima HIV navile vipimo vya kawaida cha kwanza kili react lakini cha chapili kilikuwa kinasoma negative

Yaan haioneshi ku react sasa anawasiwasi na jibu sahii lakupokea nilipi

Positive or negative ??

Tafadhali kwa wataalamu naombeni ushauri wenu tuweze msaidia mpendwa huyu

Natanguliza shukraan.
Mkiambiwa mtumie condom hamtaki,
 
UNAPIMA ILI IWEJE?
 
Nashukur kwa ushauri Namnukuu

Nilienda hospital kama tatu Navipimo vilikuwa vile vile

Chakwanza kilikuwa kina react lkn chapili kina soma negative

Hivyo sijui ukweli niupi hapo??
Umesema ni ndugu yako,kumbe ni wewe?

Anyway,nenda hospitali kapime tena,ila kupata HIV sio kufa,so relax.
 
Mkuu maabara ukipimwa kipimo cha kwanza kikionesha utata i.e kuchora 2 lines wanarudia na kipimo cha aina nyingine. Nacho kikionesha 2 lines basi confirmed. Ila kikileta utata as kikichora 1 line then unaenda kwenye kipimo kikubwa zaidi kinachoweza kutoa majibu even within the window period.

So for this case ni vyema muhusika akaenda kwenye hospitali zinazotoa huduma ya kipimo kikubwa
Umejibu vizuri sana!!! Mtoa mada zingatia huu ushauri tafadhali
 
Back
Top Bottom