Kipimo cha HIV

Hapo hakuna haja ya kurudia rudia huyo ndugu yako akichotafuta ni presha tu na kuishi kwa mazonge mazonge na kayapata awe mpole.
 
Walimueleza kuwa yupo negative aje tenaabaada ya mwezi mmoja

Pia asante kwa maelekezo mkuu .
Fuata hayo maelezo uliyopewa huko hospital, ni kwamba upo salama kwa sasa, rudi tena huo Muda ulopangiwa Ila acha ngono zembe
 
Mkuu hii sio kauli nzuri kabisa. Kuna mambo unaweza kutumia kauli hizi za kilevi lakin sio kwa suala kama hili, kwani ukimjibu kiustarabu utapungukiwa nn? Sio vizuri ndugu.
Kauli kama hizo ndio zinautwa unyanyapa muhusika hata ka majibu yangekuwa HIV positive huwezi kumwambia ana umeme grade ya taifa.tuwe wastaraabu jamani.
 
pole ndugu yangu, hyo ni kama uteuzi wa mkuu naona,
 
Ndugu yako au ni wewe mwenyewe? Nenda hospt kapime uanze dose mapemaaaa
 
Aende Kituo Cha Afya/Zahanati Za Serikali Hupima Bure Kwa Kutumia Vipimo Vya Unigold Ambayo Majibu Yake Ni Mubashara
 
Walaaniwe walioleta huu ugonjwa maana kwa sasa wazee wanatuzika na wao wanabaki kulea wajukuu so sad.
 
CC [HASHTAG]#Deception[/HASHTAG] and [HASHTAG]#Kaveli[/HASHTAG]!

Waafrika hawaamini katika research!

Wanavokaririshwa ndo hivohivo!

Am very confortable after realising the truth.

ukianza tu kutumia ARVs ndo mwisho wako!utakonda na magonjwa yatakunyemelea! NIAMINI MIMI.
 
Mshauri aende hospital nyingine ambayo wanatoa huduma iyo sio vihospital vya mitaani
 
Hiv rapid test atumie sd bioline hiv1/2 3.0 ndio kipimo kilichopo kwenye national allogarthm kwa sasa kama sd bioline itatoa positive asirudie sd bioline tena bali atafute ungold a comfirm majibu yake kama yatatoka negative basi asitumie sd bioline ya box hilo tena afungue box jingine na achukue cassete nyingine apime pia anaweza kaa siku 14 halafu arudie tena kama ina muwia vigumu pm me nitamfanyia test hizo pia nitaongea nae tuliweke sawa
 
Kwa nini nae kaenda kujitia presha na haya mavipimo yasiyona uhakika??binafsi watanipima ukimwi nikiwa hoi kitandani na nisijue kama wamenipima.
 
Huuu ndio uhuni wa vipimo vya ukimwi[emoji72] [emoji72] [emoji72] [emoji72]
 
haya mambo ndo yanauaga watu kwa presha, yani wenzio wote vimedoma wewe kimekataa kuonyeshaa
 
Je, ni kila hospital aloenda au make umesema cha kwanza kina react but cha pili haki react pia tufaham alrudia cku hyo hyo au
 
Je, ni kila hospital aloenda au make umesema cha kwanza kina react but cha pili haki react pia tufaham alrudia cku hyo hyo au
Ndio alirudia siku hiyo hiyo mkuu

Ndio akaambiwa atulie kwanza then akatizame tena
 
basi ndugu yako atakua hana HIV itakua ana magonjwa mengine ya zinaa itabidi mumpime magonjwa ya zinaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…