Kipimo cha HIV

Kwan wewe ulikua unataka lipi

awali ni awali hakuna awali mbovu, cha kwanza i mean,tayari una umeme wa gredi ya taifa,ishi kwa matumaini
Shenzi sana,ulitakiwa uzaliwe kule chato kwa akina Magufuli ndio hawajui kubakiza maneno,mwenzio anaitaji ushauri wewe unaharisha tu kama bata.Yawezakana wewe ndio umeshakua na Umeme tayari ndio maana umekua mchungu kama shubiri swaini.
 
Unaenda kupima ukimwi ili iweje?

Mwambie avumilie tu maana alichokuwa anakitafuta amekipata.
 
Mi nakushauri nenda kituo cha afya ukapimwe. Kutokana na maelezo yako nimegundua ww ulitafuta kipimo ukajipima mwenyewe nyumba, pia inaonesha kipimo cha kwanza kilionesha positivu, hukuridhika ndio ukapima tena. Mi sidhani mtu akutwe negativu halafu asiyaamini majibu. Ushauri nenda kapime kama una nia, kama hauna kausha. Hawa wanaochangia humu wala hawajapima na wanaishi kwa amani tu.
 
Hilo jibu LA pili linakupa matumaini kuwa huna?? Just recall your pita pitaz
 
Ndo maana tunasema huu ugonjwa ni siasa tu maana mpaka vipimo vyao siasa kama kawa
 
Atapata anachokitafuta. Mwambie aendelee kupima
 
Unapima kitu ambacho akijawai kuonekana. Siku ukienda tena kupima muulize dokta umeshawai kuviona virusi vya ukimwa? Na viko kundi gani? Akikupa jibu ule uje utwambie. Hacha kujipa presha huu ugonjwa uko kisanii zaidi.
 
TULISHAWAAMBIA HAKUNA KITU KINACHOHITWA HIV LAKINI HAMSIKII KABISA SIJUI MNA MATATIZO GANI ??? WAKISEMA UNA HIV WEWE NENDA KATAFUTE UGONJWA HALISI UNAOUMWA UJITIBU NA UKIMWI KILA MTU ANAWEZA KUWA NAO HUO SI UGONJWA.
 
Naona wewe ujui unachokiandika(HIV ni aina ya virus ambavyo vipo na vyaweza leta upungufu wa kinga mwilini.na UKIMWI hapo upo sawa ni upungufu wa kinga mwilini ambao mtu anaweza kuwa nao hata akipatwa na malaria typhoid na magonjwa mengine kadhaa.HIV ni kifupisho cha maneno human immunodefiency virus sawaman mvua.
 
We ulishawai kumuona huyo kirusi?
 
ulijuaje...
maana hio siku nilikua naumwa,nikapona
Sijakuelewa mama.

Mimi nimezungumzia kwenye majibu ya ukimwi kule wakiandika Reactive ina maana imoooo wakiandika non-reactive maana yake upo Negative.

Sasa sijui ulikuwa unaumwa nini na ukapona siku hiyo.
 
TULISHAWAAMBIA HAKUNA KITU KINACHOHITWA HIV LAKINI HAMSIKII KABISA SIJUI MNA MATATIZO GANI ??? WAKISEMA UNA HIV WEWE NENDA KATAFUTE UGONJWA HALISI UNAOUMWA UJITIBU NA UKIMWI KILA MTU ANAWEZA KUWA NAO HUO SI UGONJWA.
Don't force somebody to believe what you believe. Let him decide what to believe.
 
Shenzi sana,ulitakiwa uzaliwe kule chato kwa akina Magufuli ndio hawajui kubakiza maneno,mwenzio anaitaji ushauri wewe unaharisha tu kama bata.Yawezakana wewe ndio umeshakua na Umeme tayari ndio maana umekua mchungu kama shubiri swaini.
acha wenge wewe taratibu,inaonekana unapewaga kidole cha trump au cha sugu, maana unaharisha tu maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…