Vip ila,ujue kuna uwezekano wa kukupa false negative,,,so sio umpime mtu na kumkaza sa iyo iyo,,,hivi vipimo vya sasa vina uwezo wa kudetect kuanzia week nne tangu maambukizi yatokee.
Pia kuna muda wa kusoma majibu,,ukikiacha kikilala ama kikipita dakika 20-30 kinaeza kuji oxidize na kukupa positive,,(which is false positive)
Kiujumla lolote laweza tokea, false positive(haswa determine hiv test-kama umetumia whole blood),or false negative.
So ni vizuri kutumia combination ya test mbili,,,,, determine hiv test na unigold. vyote vikisema huna ni huna...vikionesha ipo ni ipo....kila kimoja kikikupa tofauti,,,nenda hospital upate elisa test.