Kipimo cha HIV

Kipimo cha HIV

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Habari zenu wanajamvi, nimepata kusikia juu ya uwepo wa kipimo cha HIV ambacho mtu anaweza kutumia kujipima mwenyewe. Naomba mwenye kufahamu juu ya hilo kama ni kweli kipo, kinapopatikana na bei yake. Ahsanteni
 
vinauzwa pharmacy nna rafiki yng alikuwa internship yy alikuwa navyo vingi vingi anawapa watu wajipime me nilikataa mwenzangu
 
vinauzwa pharmacy nna rafiki yng alikuwa internship yy alikuwa navyo vingi vingi anawapa watu wajipime me nilikataa mwenzangu


dah safi sana
hebu niambie kinaitwaje na bei yake sh ngapi
najua hivi havitoki kwa madabida
 
vinauzwa pharmacy nna rafiki yng alikuwa internship yy alikuwa navyo vingi vingi anawapa watu wajipime me nilikataa mwenzangu

bora maana unaweza pima ukakata majibu yako uliyojipima mwenyewe!
 
Vip ila,ujue kuna uwezekano wa kukupa false negative,,,so sio umpime mtu na kumkaza sa iyo iyo,,,hivi vipimo vya sasa vina uwezo wa kudetect kuanzia week nne tangu maambukizi yatokee.
Pia kuna muda wa kusoma majibu,,ukikiacha kikilala ama kikipita dakika 20-30 kinaeza kuji oxidize na kukupa positive,,(which is false positive)
Kiujumla lolote laweza tokea, false positive(haswa determine hiv test-kama umetumia whole blood),or false negative.

So ni vizuri kutumia combination ya test mbili,,,,, determine hiv test na unigold. vyote vikisema huna ni huna...vikionesha ipo ni ipo....kila kimoja kikikupa tofauti,,,nenda hospital upate elisa test.
 
Je vipo katika soko la Tanzania?

Nini gharama yake?

Wapi hasa vinapatikana kama vipo?
 
msije mkafa kwa shock.ingawa kwa upande mwengine kinasaidia mnapimana wewe na partner wako hapo kwa hapo.but what if,kitoe majibu feki?au hilo haliwezekani?


Umeomgea point, na kwa hapa Tazania kulivyojazwa vitu feki, unaweza kukuta hicho kipimo kimetengezwa na wachina wa Buguruni tunauziwa sisi wajinga kusingiziwa vimetoka marekani au china. Inaniuma hii?:A S 39:
 
Back
Top Bottom