Angalia nyanja hizi,
Watawala(viongozi),
wanavyotumikia wananchi,uwazi,uwajibikaji, rushwa,
Mfumo wa elimu,
Elimu ina ubora gani??matokeo ya elimu ni chanya??product ya elimu yetu inamabadiliko gani kwa jamii??
Maendeleo ya sekta ya afya
Simple, vifo vya mama na mtoto,death per birth, wananchi wanakufa na magonjwa ya kijinga?malaria, kipindupindu,ukimwi,mabusha,
Technology...hapa sitoeleza uzi utakua mrefu,ila technology inahusisha jeshi,ulinzi na usalama, afya, maendeleo ya tehama,kilimo,usafirishaji,mpo vizuri kiasi gani??
Utamaduni na Sanaa,jamii yenye akili timamu inaunganishwa na mambo haya,ukiona watu wanaacha asili yao wanakimbilia vya wageni mfano,lugha,namna ya kuongea,dini, mtindo wa mavazi,,aina ya music,.michezo..hiyo ni RED FLAG ya watu wasio jitambua..
Mwisho jamii bora inayojitambua ipo tayari kubadilika kwa namna yeyote kufikia maendeleo,iwe kiuchumi, kisiasa,kijamii,au kisayansi,..tuanzie hapo..
Kuna neno la kingereza Kakistocracy lina maana
The government ruled by the
stupid and
ignorant people..
Taifa hili haliwezi kua na hata bodaboda timamu, jana dereva wa bajaji kasimamisha bajaji katikati ya barabara,kashuka akojoe pembeni ya barabara..nami nikiwa ndani ya bajaji..
Now kadiria IQ zetu,kama zimepishana sana na ngedere