Kipimo cha kuchoka kwa Serikali yetu ni kushindwa kupambana na janga la mafuta

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Dharura ya mafuta imeivua nguo serikali yetu. Yaani mbwembwe zote zile na maelezo mengi wananchi tunapigwa kwenye mafuta

Inauma sana.
Na kwa kuwa waliambiwa name to shame nadhani ndo imeisha ila Nina uhakika kwenye jambo hili kuna watu wamepiga na watapiga sana hela za walalahoi.

Halafu liserikali lipo tu kazi yake kupambana na kina lisu na kutengeneza machawa kina mwashmbwa.
 
Dharura ya mafuta imeivua nguo serikali yetu. Yaani mbwembwe zote zile na maelezo mengi wananchi tunapigwa kwenye mafuta

Inauma sana.
Na kwa kuwa waliambiwa name to shame nadhani ndo imeisha ila Nina uhakika kwenye jambo hili kuna watu wamepiga na watapiga sana hela za walalahoi.

Alafu liserikali lipo tu kazi yake kupambana na kina lisu na kutengeneza machawa kina mwashmbwa.
STD7 Failure ndiyo tatizo ana puyanga tu
 
Serekali gani imeweza kupambana hebu itaje, au ndo mnadanganywa na chadema walioshindwa kujenga hata ofisi ruzuku zote zimeishia matumboni
 
Dharura ya mafuta imeivua nguo serikali yetu. Yaani mbwembwe zote zile na maelezo mengi wananchi tunapigwa kwenye mafuta

Inauma sana.
Na kwa kuwa waliambiwa name to shame nadhani ndo imeisha ila Nina uhakika kwenye jambo hili kuna watu wamepiga na watapiga sana hela za walalahoi.

Alafu liserikali lipo tu kazi yake kupambana na kina lisu na kutengeneza machawa kina mwashmbwa.
Nguo zilisha vulika mda mrefu kwa matendo ya utekaji na ulimbikizaji kodi kubwa kwa wana nchi mimi nadhani huu ni mwendelezo wa kutembea uch
 
Vitu CCM wanavyoweza kufanya kwa uhakika ni kuteka , kuua wapinzani na wakosoaji wao , ufisadi na wizi wa kura.
 
Serekali gani imeweza kupambana hebu itaje, au ndo mnadanganywa na chadema walioshindwa kujenga hata ofisi ruzuku zote zimeishia matumboni
Unajua ukinyamaza walau unaficha upumbavu wako
 
Dharura ya mafuta imeivua nguo serikali yetu. Yaani mbwembwe zote zile na maelezo mengi wananchi tunapigwa kwenye mafuta

Inauma sana.
Na kwa kuwa waliambiwa name to shame nadhani ndo imeisha ila Nina uhakika kwenye jambo hili kuna watu wamepiga na watapiga sana hela za walalahoi.

Alafu liserikali lipo tu kazi yake kupambana na kina lisu na kutengeneza machawa kina mwashmbwa.
Serikali dhalimu inayonuka damu za watu wasio na hatia si serikali ya kuitegemea kwenye lolote jema
 
Serekali gani imeweza kupambana hebu itaje, au ndo mnadanganywa na chadema walioshindwa kujenga hata ofisi ruzuku zote zimeishia matumboni
 
Attachments

  • IMG-20260403-WA0015.jpg
    IMG-20260403-WA0015.jpg
    50.6 KB · Views: 14
Back
Top Bottom