The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
STD7 Failure ndiyo tatizo ana puyanga tuDharura ya mafuta imeivua nguo serikali yetu. Yaani mbwembwe zote zile na maelezo mengi wananchi tunapigwa kwenye mafuta
Inauma sana.
Na kwa kuwa waliambiwa name to shame nadhani ndo imeisha ila Nina uhakika kwenye jambo hili kuna watu wamepiga na watapiga sana hela za walalahoi.
Alafu liserikali lipo tu kazi yake kupambana na kina lisu na kutengeneza machawa kina mwashmbwa.
Nguo zilisha vulika mda mrefu kwa matendo ya utekaji na ulimbikizaji kodi kubwa kwa wana nchi mimi nadhani huu ni mwendelezo wa kutembea uchDharura ya mafuta imeivua nguo serikali yetu. Yaani mbwembwe zote zile na maelezo mengi wananchi tunapigwa kwenye mafuta
Inauma sana.
Na kwa kuwa waliambiwa name to shame nadhani ndo imeisha ila Nina uhakika kwenye jambo hili kuna watu wamepiga na watapiga sana hela za walalahoi.
Alafu liserikali lipo tu kazi yake kupambana na kina lisu na kutengeneza machawa kina mwashmbwa.
Unajua ukinyamaza walau unaficha upumbavu wakoSerekali gani imeweza kupambana hebu itaje, au ndo mnadanganywa na chadema walioshindwa kujenga hata ofisi ruzuku zote zimeishia matumboni
Serikali dhalimu inayonuka damu za watu wasio na hatia si serikali ya kuitegemea kwenye lolote jemaDharura ya mafuta imeivua nguo serikali yetu. Yaani mbwembwe zote zile na maelezo mengi wananchi tunapigwa kwenye mafuta
Inauma sana.
Na kwa kuwa waliambiwa name to shame nadhani ndo imeisha ila Nina uhakika kwenye jambo hili kuna watu wamepiga na watapiga sana hela za walalahoi.
Alafu liserikali lipo tu kazi yake kupambana na kina lisu na kutengeneza machawa kina mwashmbwa.
Serekali gani imeweza kupambana hebu itaje, au ndo mnadanganywa na chadema walioshindwa kujenga hata ofisi ruzuku zote zimeishia matumboni
Tuna gesi lakini muda wote wanahangaika na mafutaHaya yote ni kwa sababu ya low level of education