Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
Habari zenu,
Kutokana na huu upepo kuvuma kwa kasi sana hili swali likanijia kichwani, HIVI KUNA KIPIMO CHA KUJUA KAMA MWANAUME ALISHAWAI KUFANYA AU KUFANYIWA KINYUME NA MAUMBILE? ili wapenzi wakiwa wanaenda kucheki afya zao kwenye swala zima la magonjwa kama vile HIV na hiki kipimo kifanyike,kuliko bomu kuja kulipuka baadae.
Ni hayo tu....Nawatakia siku Njema