Kipimo cha kujua kama mwanaume amewai kufanya/kufanyiwa kinyume na maumbile

Kipimo cha kujua kama mwanaume amewai kufanya/kufanyiwa kinyume na maumbile

Aurora

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
7,308
Reaction score
5,272
Habari zenu,

Kutokana na huu upepo kuvuma kwa kasi sana hili swali likanijia kichwani, HIVI KUNA KIPIMO CHA KUJUA KAMA MWANAUME ALISHAWAI KUFANYA AU KUFANYIWA KINYUME NA MAUMBILE? ili wapenzi wakiwa wanaenda kucheki afya zao kwenye swala zima la magonjwa kama vile HIV na hiki kipimo kifanyike,kuliko bomu kuja kulipuka baadae.

Ni hayo tu....Nawatakia siku Njema
 
Hahah!!! ina maana hali ni mbaya kiasi hiki?

Vipi na ninyi mpimwe bikira?

haina shida na yeye akitaka kujua kama mwanamke wake amewai kuliwa 0713
 
haina shida na yeye akitaka kujua kama mwanamke wake amewai kuliwa 0713

basi ngoja niende zangu idodomya nikamshawishi Sitta aliweke hili kwenye katiba mpya...
 
  • Thanks
Reactions: lin
waulize wajada watakujibu.
maana huwa wanachekiwa kama wachatifuliwa mitaro.kabla ya kujiunga na jeshi kama unanduguyo mjeda muulize atakwambia au kama wajeda watapita hapa watakwambia
 
waulize wajada watakujibu.
maana huwa wanachekiwa kama wachatifuliwa mitaro.kabla ya kujiunga na jeshi kama unanduguyo mjeda muulize atakwambia au kama wajeda watapita hapa watakwambia

sawaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom