Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

mkuu tuelekeze vizuri tukifika hapo fire tunaingia ofisi gani au tunaulizia vipi ili kuwapata hao wahindi?
Hakuna ofisi, we nenda tu pale fire nyuma kituo cha mafuta utakuta mikwaju kibao pale we vizia tu muhindi wowote mtaenda sawa
 
Wewe ulinunua gari kama ufahari au ulinunua kama chombo cha usafiri
 
Tusiokuwa na gari hii thread haituhusu kabisa
Pambana, mange kimambi na lemutuz hawana nyumba ila wana magari tu, na wanaongoza kwa kuwa na furaha nadhani kuliko hata kiumbe chochote hapa duniani.
 
Pambana, mange kimambi na lemutuz hawana nyumba ila wana magari tu, na wanaongoza kwa kuwa na furaha nadhani kuliko hata kiumbe chochote hapa duniani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo nisianze kujenga mkuu nianze na gari
 
Hao ndio WTZ wana roho mbaya sana.
 
Wewe ulinunua gari kama ufahari au ulinunua kama chombo cha usafiri
Nilinunua kwa namna zote hizo ulizotaja, hasa hasa ufahali , kuaminika, mbwembwe na manila kitu dadadeki na nikitoboa zingine huku niliko naamia rasmi kwa gari ya ndoto yangu land cruiser VXRV8 mwisho wa matatizo na lazima nitaliposti hapa hadharani ili wale wenye ufukara wao wa kudumu, waje dm au waendelee kuhesabu Tanzia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo nisianze kujenga mkuu nianze na gari
Nyumba itatoka kwenye gari, mimi nilianza na ukinga kama wako wa kujenga ila cha moto nilikiona, kwanza hata mafundi kama hauna gati wanakudharau wanakuona na wewe miongoni mwa vibarua vyao, ila ukiwa na moto pale wanakuheshimu ile ile yani
 
Nyumba, Shamba ni real estate Gari sio real.

Ulishaona nchi zinagombana Kisa Gari. Ika Ardhi ambayo Nyumba hujengwa.

Utajiri wa kupimwa na Gari ni utoto
Mungu mwenyewe alianza kumpa Adam na hawa makazi sio usafiri.
Si unaona sasa walivyopata shida wakati hawana usafiri, ilq baadae wakagundua panda ona mambo yalivyowaendea poa, walikuwa wanapiga misele ya kufa mtu, rejea
Kitabu cha mwanzo 13;19-25
 
Nimepokea bro
Tianeni ujinga, we jenga wenye ardhi wakitaka kwa matumizi yao tutakupeleka usikokutaka na cha kutufanya huna, kumbuka ardhi ni mali ya serikali unakodishwa tu kwa muda.
 
Ni kweli mkuu Tanzania watu wana ufinyu sana wa mawazo.
Mtu analazimisha kununua gari halafu amepanga kwenye kichumba kama stoo,mwenyewe anaona ufahari
Sawa, kwa hiyo ndo nikajenge fukayosi huko ndo nihesabu nina nyumba, we nipangishe posta nakuelewa, ila ndinga kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…