Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

Naunga mkono hoja na kama wewe ni mchakata papuchi basi utazichakata mpaka ukimbie maana hua haziruki mbele ya huu uchawi wa mzungu/mjapani.
Hapa ndo huwa hawaruki kabisa hata awe nani
 
Nyumba inatembea ww? We tuulize sisi watembezi kama nyumba ina umuhimu, mimi nina nyumba mbili dar na dodoma, lakini sasa niko matimila huku songea hata sizitumii, ila niko na motokaa huku mwendo mdundo kitu cha toyota landcruiser Series 100, turbo peal white DUG 2006 nusu ya v8in

Duuh!! Powah mkuu
 
Hapa ndo huwa hawaruki kabisa hata awe nani
Huwa wanaamini wenye magari tupo vizuri kiuchumi kumbe hawajui kuna kipindi mtu unaweka wese la elfu kumi kwa sababu ya hali ya uchumi.

Pia ni ukweli usiopingika ukiwa na gari hata connection mjini unazipata kiulaini sana.

Kama huna gari hata kama ni ka passo kwa bongo wewe tunakiona kama mtoto.
 
Huwa wanaamini wenye magari tupo vizuri kiuchumi kumbe hawajui kuna kipindi mtu unaweka wese la elfu kumi kwa sababu ya hali ya uchumi.

Pia ni ukweli usiopingika ukiwa na gari hata connection mjini unazipata kiulaini sana.
Halafu gari lina raha yake bwana asikuambie mtu makochi ya okadeko ya nyumbani hayafikii hata theruthi tatu ya kiti kimoja cha gari aisee, gari linanoga bwana hata liwe mkweche
 
Tatizo serekali yetu mpaka sasa kuagiza gari kwa mwananchi ni anasa maana kodi utakayo kutana nao utacheka.

Tokea 2000 gari duniani kote ni kama simu na lazima mwanadamu kuwa nalo.ila kwa tanzania serekeli bado ina husda
Uko sahihi mkuu.
Gari nchi nyingi limekuwa necessity siyo luxury, sisi kadri siku zinavyokwenda gari limekuwa anasa. Huku usafiri wa umma ukiwa hautoshelezi wala kukidhi mahitaji.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Huu nao ni ushahidi wa jinsi elimu yetu ilivyofeli kutuondolea ujinga
Asikudanganye mtu wala kukutia moyo, kama wewe huna gari hata kama ni mkweche unahesabika ni fukara tu hata kama una nyumba 50, tafuta gari upate amani ya moyo na heshima kwa wakwe hata kama huna hela.

Muhimu kujilinda, korona ipo na inaua fuateni miongozo ya wataalam wa afya jamani.

Kzba.
 
Uko sahihi mkuu.
Gari nchi nyingi limekuwa necessity siyo luxury, sisi kadri siku zinavyokwenda gari limekuwa anasa. Huku usafiri wa umma ukiwa hautoshelezi wala kukidhi mahitaji.

Everyday is Saturday............................... 😎
Hata kwangu nakufukuza najua utakuwa mbabaishaji tu wewe tutasumbuana kwenye kodi, ila ukiwa hata na chases haina body hata kama ya maandolina , najua wewe mpambanaji
 
Jenga Nyumba wewe acha UJINGA.

Gari LA nini wakati yako mengi tu tax,boda,uba,daldala,mwendokasi

Usinune kitu ambacho tayari kipo, na watu wako tayari kukufuata popote kukupa huduma. Huu ni uchafuzi wa vipaumbele
 
Uko sahihi mkuu.
Gari nchi nyingi limekuwa necessity siyo luxury, sisi kadri siku zinavyokwenda gari limekuwa anasa. Huku usafiri wa umma ukiwa hautoshelezi wala kukidhi mahitaji.

Everyday is Saturday............................... 😎
Vuta mchuma mkuu, na kama unao hongera sana , gari linaheshimisha
 
Jenga Nyumba wewe acha UJINGA.

Gari LA nini wakati yako mengi tu tax,boda,uba,daldala,mwendokasi

Usinune kitu ambacho tayari kipo, na watu wako tayari kukufuata popote kukupa huduma. Huu ni uchafuzi wa vipaumbele
Huna hela fumarate wewe, unajenga nyumba ya mamilioni, sehemu unayotumia hata robo haifiki, si bora upange chumba kimoja uvute mchuma mzee, jenga ww ikiisha tu unakufa.
 
Huu nao ni ushahidi wa jinsi elimu yetu ilivyofeli kutuondolea ujinga
Usikute nina elimu kubwa kuliko ww, CpAt, MBA, unazo wewe..usikute ni tarishi tu mahakama ya kata mbesa hapa ndio maana una akili za kifukara, tafuta gari hueshimike ndugu yangu, hamna aliezikwa kwa heshima bila kuwa na gari, mfano kanumba alikuwa na collection ya mandinga lakini mama yake nyumba tumemjengea sisi na michango yetu
 
Huna hela fumarate wewe, unajenga nyumba ya mamilioni, sehemu unayotumia hata robo haifiki, si bora upange chumba kimoja uvute mchuma mzee, jenga ww ikiisha tu unakufa.
Nyumba, Shamba ni real estate Gari sio real.

Ulishaona nchi zinagombana Kisa Gari. Ika Ardhi ambayo Nyumba hujengwa.

Utajiri wa kupimwa na Gari ni utoto
Mungu mwenyewe alianza kumpa Adam na hawa makazi sio usafiri.
 
Back
Top Bottom