Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba inatembea ww? We tuulize sisi watembezi kama nyumba ina umuhimu, mimi nina nyumba mbili dar na dodoma, lakini sasa niko matimila huku songea hata sizitumii, ila niko na motokaa huku mwendo mdundo kitu cha toyota landcruiser Series 100, turbo peal white DUG 2006 nusu ya v8in
Huwa wanaamini wenye magari tupo vizuri kiuchumi kumbe hawajui kuna kipindi mtu unaweka wese la elfu kumi kwa sababu ya hali ya uchumi.Hapa ndo huwa hawaruki kabisa hata awe nani
Halafu gari lina raha yake bwana asikuambie mtu makochi ya okadeko ya nyumbani hayafikii hata theruthi tatu ya kiti kimoja cha gari aisee, gari linanoga bwana hata liwe mkwecheHuwa wanaamini wenye magari tupo vizuri kiuchumi kumbe hawajui kuna kipindi mtu unaweka wese la elfu kumi kwa sababu ya hali ya uchumi.
Pia ni ukweli usiopingika ukiwa na gari hata connection mjini unazipata kiulaini sana.
Uko sahihi mkuu.Tatizo serekali yetu mpaka sasa kuagiza gari kwa mwananchi ni anasa maana kodi utakayo kutana nao utacheka.
Tokea 2000 gari duniani kote ni kama simu na lazima mwanadamu kuwa nalo.ila kwa tanzania serekeli bado ina husda
Asikudanganye mtu wala kukutia moyo, kama wewe huna gari hata kama ni mkweche unahesabika ni fukara tu hata kama una nyumba 50, tafuta gari upate amani ya moyo na heshima kwa wakwe hata kama huna hela.
Muhimu kujilinda, korona ipo na inaua fuateni miongozo ya wataalam wa afya jamani.
Kzba.
Hata kwangu nakufukuza najua utakuwa mbabaishaji tu wewe tutasumbuana kwenye kodi, ila ukiwa hata na chases haina body hata kama ya maandolina , najua wewe mpambanajiUko sahihi mkuu.
Gari nchi nyingi limekuwa necessity siyo luxury, sisi kadri siku zinavyokwenda gari limekuwa anasa. Huku usafiri wa umma ukiwa hautoshelezi wala kukidhi mahitaji.
Everyday is Saturday............................... 😎
Vuta mchuma mkuu, na kama unao hongera sana , gari linaheshimishaUko sahihi mkuu.
Gari nchi nyingi limekuwa necessity siyo luxury, sisi kadri siku zinavyokwenda gari limekuwa anasa. Huku usafiri wa umma ukiwa hautoshelezi wala kukidhi mahitaji.
Everyday is Saturday............................... 😎
Huna hela fumarate wewe, unajenga nyumba ya mamilioni, sehemu unayotumia hata robo haifiki, si bora upange chumba kimoja uvute mchuma mzee, jenga ww ikiisha tu unakufa.Jenga Nyumba wewe acha UJINGA.
Gari LA nini wakati yako mengi tu tax,boda,uba,daldala,mwendokasi
Usinune kitu ambacho tayari kipo, na watu wako tayari kukufuata popote kukupa huduma. Huu ni uchafuzi wa vipaumbele
Connection.Usiagize we chukua kwa wahindi wacheza kamali wa pale fire wanauza bei ya kutupa hata ukiwa 3milion unapata mkwaju kurudisha heshima kwa wakwe, yangu walinizia milion 43 na ni mpya kabisa
Usikute nina elimu kubwa kuliko ww, CpAt, MBA, unazo wewe..usikute ni tarishi tu mahakama ya kata mbesa hapa ndio maana una akili za kifukara, tafuta gari hueshimike ndugu yangu, hamna aliezikwa kwa heshima bila kuwa na gari, mfano kanumba alikuwa na collection ya mandinga lakini mama yake nyumba tumemjengea sisi na michango yetuHuu nao ni ushahidi wa jinsi elimu yetu ilivyofeli kutuondolea ujinga
Aina gani?Usiagize we chukua kwa wahindi wacheza kamali wa pale fire wanauza bei ya kutupa hata ukiwa 3milion unapata mkwaju kurudisha heshima kwa wakwe, yangu walinizia milion 43 na ni mpya kabisa
Nyumba, Shamba ni real estate Gari sio real.Huna hela fumarate wewe, unajenga nyumba ya mamilioni, sehemu unayotumia hata robo haifiki, si bora upange chumba kimoja uvute mchuma mzee, jenga ww ikiisha tu unakufa.