Kipimo cha mapenzi ni nini?

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
marafi wa jf naomba niwaulize kpmo cha mapenzi n nn?naombeni mnijibu.
 
kwa wadada nafikiri ni pesa na kwa wakaka ni shep,...nikikosea msinipopoe na mawe ila mnisahihishe,...nachangia
 
Lizzy huwa unalivuta kabla ya kujibu post au
hahahaha nimecheka mbaya

back: uaminifu
 
Pale expectation gap inapokuwa ndogo, kati ya ulichokitaraji na unachokipata.
 
Igwe ni kweli wakaka wanavutiwa na shep ndio maana nowadays wadada wanabanana kwa wachina aisee!
 
Namna unavyotambua tafsiri ya upendo!
 
Igwe ni kweli wakaka wanavutiwa na shep ndio maana nowadays wadada wanabanana kwa wachina aisee!

ndio manaake,.....lakn na nyie mkwanja ndio kila kitu,...hizi sababu zingine ni za jujuu tu
 
aaaaaah!..acha kuniharibia siku bebii tafadhari,....anyway mimi ni mkaka wa ukweli,....eeeeeh_lete hoja sasa
mbona unapendwa na huna hela wewe?
 
mbona unapendwa na huna hela wewe?

aaaaah!..hela ninazo sema sio nyingi kama za akina chenge,..na hua sipendi mashauzi kama masharobaro,...kama vip nitokee week end_unajua kuzitumia lakn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…