Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mizani...
wewe ni mdada au mkaka?kwa wadada nafikiri ni pesa na kwa wakaka ni shep,...nikikosea msinipopoe na mawe ila mnisahihishe,...nachangia
wewe ni mdada au mkaka?
Igwe ni kweli wakaka wanavutiwa na shep ndio maana nowadays wadada wanabanana kwa wachina aisee!
mbona unapendwa na huna hela wewe?aaaaaah!..acha kuniharibia siku bebii tafadhari,....anyway mimi ni mkaka wa ukweli,....eeeeeh_lete hoja sasa
mbona unapendwa na huna hela wewe?