SoC03 Kipimo cha matumizi ya gesi

SoC03 Kipimo cha matumizi ya gesi

Stories of Change - 2023 Competition

leila kudra mwalami

New Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Jambo ni aidia yangu ni wazo zuri natumani utaopokea vyema ni jambo la kuleta maendeleo na faida kwa jamii.

WAFANYA BIASHARA WA CHAKULA; wengi wamekuwa wakipata hasara endapo ile gas ikitokea kuisha kama kina mama ntilie, wauza chipsi na wafanya biashara wadogowadogo mpaka mtu anapiteza muda, na wateja na kingine hapo anakuwa hana pesa ya kwenye kununua gas so hicho kifaa kikiwepo ni rahisi kujua gas inaisha kwa muda gan?Anakua anajua anasoma kama kila mita za gari wanavyosom inakua rahisi kwa wafanya biashara wadogowadogo kuelewa na ikikalibia kuisha ajue ajipange kuwekeza hela. Kununua gas kuliko kutumia tena matumiz ya mkaa na kukata miti ovyo kumekatazwa .

WATU WA MIKOANI/ VIJIJINI; wamekua wakishindwa cha kufanya endapo gas hiyo ikikalibiakuisha na kuanza tena kuchafua hali hewa kwa kukata miti ovyo kwa kutumia kuni, na wakikosa huduma za gasi mpka wasubiri zitoke mjini mpka ziwafikie. wakiwa na gas ambay wanajua muda gan utaisha matumiz ni rahis sana kujua na kujiwekeza pesa kidogo kidog mpaka gas itakapokaribia kuisha, na wengi ges ikiisha kama imejensi hata sisi kwetu mara nyingin gas kubw ikiisha ghafl tunawez tusitumie hata mwezi mzima mpka tukipat pesa lakin ingekuaep icho kifaa tungekua tunajua now gas imeshaanza kuisha ni rahisi mtu kujua anawez akawa ajiandaa kwa lolote kama kutafut hela ya kuweka mapem kwa ajili ya kununua gas tena.

WANAFUNZI WA MAVYUONI wamekua wakiishi katika mazingira magumu sana endapo gas ikiisha haswa wakilala njaa, na wanaopata tabu wanafunzi haswa wakike mpka wanajiingiza kweny tamaa za kutafuta pesa kwa njia nyingine udangaji ili wale au wafanye ngono zembe kwa kupata pesa ya kununua gas au watafute pes ya kununua gas wengi wamekua wakipoteza muda kula kwa mama ntilie, na kushinda mabaara

Kama wangekua na gas ya aina hiyo ni rahisi kufaham kama gas ikikalibia kuisha ni rahisi pia wanafunzi hao wa vyuoni kuwajulisha wazazi wao mapema au walezi wao mapema wa watumie pesa za kununua gas kabla ya haijaisha na wakati wakipata boom wajue matumizi ya kupangilia kutumia pesa zao 🙏
 
Upvote 1
Back
Top Bottom