Kipimo cha mimba

Kipimo cha mimba

ossy

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
872
Reaction score
143
wakuu heshima yenu,wakuu je juna kipimo kingine cha mimba zaidi ya hiv vya kuchovya kwenye mkojo! Mpenzi wangu amemiss bleed kwa 6days now,alikuwa abreed tarehe 24 mwezi huu but til now hajaona tumepima mara tatu kwa siku tofauti kipimo kinaonyesha negative,je kuna kipimo kingine au anatatizo gani wakuu! Nawakilisha!
 
Yes hii inawezekana kuwa labda hana mimba au bado mambo hayajakamilika tumboni au cycle imebadilika.

Njia ingine pia ni kupima DAMU watacheki hcg level. Hii inadhibitisha haswa. Nendeni clinic semeni kipimo gani mnataka.

Ila pia ukigoogle kuna forums nyingi online utaona story zinazoendana na swali lako vizuri kusoma mkajua nini huwa kinaendela maishani.

Nafurahia maongezi na dada zangu yananifunza.
 
When dd u hav sex last time?ulitumia njia za kuzuia mimba? Z t da 1st tm 2 hapen? mabadiliko kwenye mps za wanawake yapo japokuwa cio common,na its not alwayz cycle yake inaangukia on da same date.kuna wengine wanapitisha hata mwez mzima afu inarud kuwa normal.ni factors nyingi zinazoweza ku cauz hiyo kama hormonal changez,psychological state n.k.
 
Kitaalam vitu vingi vinaweza kusababisha mwanamke kupitiliza siku zake baadhi ni hivyo ulivyo tajiwa hapo juu lakini pia kipimo cha mkojo upt kina kinaashilia uwepo wa hormonal inaayoitwa hcg hii hutolewa na layer inayo mfunika mtoto inaitwa chorionic sasa hcg huanza kutengenezwa siku 14 tangu mimba itungwe hiyo mimba kwenye mkojo huonekana kati ya siku 14 tangu mimba itungwe nashauli unaweza kurudia kipimo cha mkojo baada siku 14 zijazo au ufanye kipimo cha abdominal utrasound yenyewe huonyesha mapema zaidi
 
Hiyo abdominal utrasound ndio ambayo km haionyeshi vizuri wanaambiwa wanywe maji mengi au.....
 
Back
Top Bottom