Kipimo cha mkojo Huchukua muda gani kupata majibu?

Eleminator

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2022
Posts
597
Reaction score
975
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wana JF

Maana ya kuuliza hivyo kuna siku moja nimeenda zahanati tena ya serikal nmefika pale nikamuelezea daktari hali yangu na yeye akanielekeza kwenda maabara baada ya kufika kule nikapewa chupa cha kuhifadhia mkojo
Cha ajabu
Baada ya kurudisha sampuli ya mkojo sijakaa hata dakika 2 jamaa kaniita kaniambia nirudi kwa doctor kwamba majibu tayar
swali: kwa muda huo mfupi majibu yanaweza kuwa sahihi
inshort nilibaki kwenye mawazo makubwa saana
.
nambeni ufafanuzi
 
Majibu ya mkojo umepeleka kwa daktari, halafu ufafanuzi unaomba JF, jichunguze vizuri akili yako unakoelekea unadata.
 
Mkojo ulipima nini? Mimba au? Kama ni mimba ile kitu inasoma within seconds tu

Vingine sijui, labda hapakuwa na foleni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…