Ndugu zangu hebu nisaidieni nina changamoto za ki afya sa kuna mdau kanishauri nikapime Samaritan Neutracetical ambapo kuna kipimo unashikika kinafanya body chekup.Kuna mtu humu ameshawah fanya hiyo kitu humu ndani anipe mafanikio nataka kwenda j3. Msinihukumu humu ni hoja mchanganyiko hata kama yahusiana na jf doctor yafaa humu pia