kipimo cha mwili mzima nishaurini

kipimo cha mwili mzima nishaurini

Manselly

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
456
Reaction score
130
Jambo wana Jf
Kuna matatizo ya tumbo na hali ya sintofaham yanisumbua. Kuna mtu amenishauri niende Samaritan Neutracetical ambao wana kipimo unakishika tu na kinafanya body checkup ya mwili mzima. Plz kuna mtu yyte ameshawah kufanya hii kitu ikamsaidia??Nishaurini wadau kwa mwenye taarifa sahihi na hii huduma kabla sijaenda
 
wana jamvi mbona kimya manake hakuna aliewah kusikia hii kitu au kufanya
 
Jambo wana Jf
Kuna matatizo ya tumbo na hali ya sintofaham yanisumbua. Kuna mtu amenishauri niende Samaritan Neutracetical ambao wana kipimo unakishika tu na kinafanya body checkup ya mwili mzima. Plz kuna mtu yyte ameshawah kufanya hii kitu ikamsaidia??Nishaurini wadau kwa mwenye taarifa sahihi na hii huduma kabla sijaenda

Achana na hao matapeli ukienda watakutisha na kukwambia unamatatizo kila kona ya mwili wako na kukwambia bei za hovyo (Haipungui 800,000 hadi 1,000,000) dawa zenyewe alovera tu.

Nenda hospital utapata majibu sahihi, kwani hilo tumbo linamatatizo gani. Waweza kwenda kucheki vidonda vya Tumbo au onana na dr. bingwa
 
duh kumbe ni mahela mengi hivo kazi ipo.ishu ni kuwa mara nyingi nasumbuliwa na tumbo linachafuka tu hasa napokua na hofu au mawazo lakini sku izi hata nikiwa normal tu linazingua mpaka natapika ndo linakua normal.Malaria sina,nikaambiwa typhod nimemaliza dozi no changes ndo stl nahangaika yan tumbo linachafuka af inafkia kipindi mpaka nakosa nguvu nalala tu
 
Ndg hao jamaa hawafai hata kdogo!
watakutajia magonjwa kibao mpaka ujihsi kufakufa leoleo! kwenye bei ya dawa hutatamani kuichukua!
 
wanasema kipimo peke ake cha mwili mzma ni elf 45 sa zikija na dawa hapo si ndo balaa.any way ishu sio hela ishu ni kupona je kuna mtu ameshaenda akahudumiwa pale akapona na hicho kipimo hakina side effects?
 
Back
Top Bottom