Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]napima tezi dume
Kipimo ndio hicho aisee msikatae ila nafikiri kuna zaidi ya hicho but could the intial testsUongo huo usituletee Story Za Viroba hapa Kama Unashindwa Hata Kugoogle au KuYouTube ukajifunza mwenyewe..
Haya inama Basi ujitie Hicho Kidole Cha Lusindo ujikaguwe hiyo Tenzi Dume Yako...
Ukiwa chakali kwa maradhi tutakupima tu !!Acha maradhi yaniue kama kipimo ndio hicho
Yawezekana huyu marehemu wa juzi alifahamu fika kipimo kinachotakiwa akakataa ndipo mauti yakamfikaAcha maradhi yaniue kama kipimo ndio hicho
Acha upotoshaji.
Hicho kipimo ndio kinasababisha mauti kwa wanaume wengi sana, kwa nini mtu uogope kupimwa hivyo na wanaume wenzako ma dokta wakati unamuacha mkeo anaenda kuimwa njia wakati wa kujifungua hata na madokta wa kiume? ifike mahali matibabu yakubalike kuepusha vifo visivyo vya lazima.
Ntafute mimi napima kwa macho tuu,njoo usiogopeKipimo cha tezi dume ni cha kumdhalilisha anaepimwa kwa maoni yangu. Maana nmeambiwa ni lazima dokta aingize kidole mkunduni.
Hivi inawezekana nikajipima mwenyewe nikipewa maelekezo? Ma Dr naomba kujuzwa.