Habari zenu!
Mi ni mdada ambae natafuta jibu la swali hili. Nimepima Mimba kwa kutumia UPT ila majibu yameonyesha mstari mmoja ambao ndio unaonekana sana. Ia pia ukikiangalia kwa makini sana hicho kifaa kinaonyesha kwa mbaaali kuna kimstari kama kinakuja ndio maana sielewi majibu.
Anaeelewa naomba anieleweshe.
=========
FEEDBACK: 21st April 2015 15:50

Guys mko poa??? nimeona nilete feedback ya jibu la uzi huu...baada ya kuomba mawazo yenu ile siku hatimae leo nimeenda hospital kupima na namshukuru mungu majibu yamekuja POSITIVE. Ahsanteni