Kipimo cha Ujauzito: Jibu sahihi ni lipi hapa?

Shanyc

Senior Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
171
Reaction score
21
Habari zenu!

Mi ni mdada ambae natafuta jibu la swali hili. Nimepima Mimba kwa kutumia UPT ila majibu yameonyesha mstari mmoja ambao ndio unaonekana sana. Ia pia ukikiangalia kwa makini sana hicho kifaa kinaonyesha kwa mbaaali kuna kimstari kama kinakuja ndio maana sielewi majibu.

Anaeelewa naomba anieleweshe.

=========

FEEDBACK: 21st April 2015 15:50

Guys mko poa??? nimeona nilete feedback ya jibu la uzi huu...baada ya kuomba mawazo yenu ile siku hatimae leo nimeenda hospital kupima na namshukuru mungu majibu yamekuja POSITIVE. Ahsanteni
 
Pima tena, na tena na tena mpaka upate jibu moja.
 
Negative. Hapo unalazimisha Kwa mawazo yako iwe positive
 
kacheck kwa us kama kwa UPT huna uhakika
 
2Q==
9k=
Z

Haya eezea vizuri sasa

images
images
 
Guys mko poa??? nimeona nilete feedback ya jibu la uzi huu...baada ya kuomba mawazo yenu ile siku hatimae leo nimeenda hospital kupima na namshukuru mungu majibu yamekuja POSITIVE. Ahsanteni

hongera,ila mara nyngi vkitokea vimstar viwil kmoja kikiwa hakionekani vizuri inakuwaga ni mimba changa hiyo..
 
Pima tena tumia mkojo wa mwanzo wa asubuhi...kama una mimba HCG hormone level inakuwa juu mistari itaonekana tu clear miwili!!
 
Guys mko poa??? nimeona nilete feedback ya jibu la uzi huu...baada ya kuomba mawazo yenu ile siku hatimae leo nimeenda hospital kupima na namshukuru mungu majibu yamekuja POSITIVE. Ahsanteni

Hongera mama kijacho
 
hongera,ila mara nyngi vkitokea vimstar viwil kmoja kikiwa hakionekani vizuri inakuwaga ni mimba changa hiyo..

kumbe!!! nilikua sijui hadi nikaambiwa nalazimisha iwe positive na pia ahsante.
 
Back
Top Bottom