asante sana mkuu, nmekuelewa vizuri sanaVipimo vinauzwa maduka ya madawa japo ni kosa kisheria, kuviuza au kumpima mtu bila kumpa ushauri na sahaa, kupima mwenyew ni bora zaidi kuliko hosptl maana inakuwa siri yako mwenyew. Bei yake ni kati ya 3000 na elfu tano
MKUU kuna faida nyingi za kupima kuliko kutopima hususan kama unais umeukwaa, ucpopima wallah mawazo yatakumaliza lakini ukipima kama unao utaanza dozi kama hauna utajilinda zaidiUnapima ili iweje kwanza? assume kitu kimesoma positive dawa unayo ya kutibu? chukua hatua utajipa bp bure tu ufe kesho wakati sasa hivi afya ipo vzr mwili nyumba
Nashukuru kwa kutupa moyoMKUU kuna faida nyingi za kupima kuliko kutopima hususan kama unais umeukwaa, ucpopima wallah mawazo yatakumaliza lakini ukipima kama unao utaanza dozi kama hauna utajilinda zaidi
Bro ndiyo ninaona sasa hivi hii post. Kipimo kinaitwa BioHIV self test kunakuwa majibu ndani ya dakika 15. Kinapatikana kwenye maduka makubwa ya dawa.sikijui,ila kuna dadangu ngoja nimuombe akutajie,Dada Sky pliz njoo kuna shida kidogo umsaidie huyu jamaa yangu ana mushkell kidogo na afya yake na naogopa kwenda hospitali,Mtajie kipimo kinaitwaje.Subiri anakuja
Asante Dada atakuwa ameona sasa.Bro ndiyo ninaona sasa hivi hii post. Kipimo kinaitwa BioHIV self test kunakuwa majibu ndani ya dakika 15. Kinapatikana kwenye maduka makubwa ya dawa.
Vipimo vya kupima HIV haviuzwi mkuu! Na ni marufuku kupima ukiwa mwenyewe coz kuna pre na post testing cancllng huwezi pewa na mengine mengi. Utakuta mtu anavyonyumban at anampima kila dem anyeingia kama kapata jana utajuaje?Habari wanajukwaa, kwa anaefahamu, eti kipimo cha VVU ambacho unaweza kujipima mwenyewe au kumpima mwenzako nyumbani kinaitwaje? halafu bei yake ipoje? naomba mnisaidie hata kama kuna picha yake muiweke hapa
sawa mkuu nimekuelewa,Vipimo vya kupima HIV haviuzwi mkuu! Na ni marufuku kupima ukiwa mwenyewe coz kuna pre na post testing cancllng huwezi pewa na mengine mengi. Utakuta mtu anavyonyumban at anampima kila dem anyeingia kama kapata jana utajuaje?