Kipindi bora cha michezo saa 2 asubuhi radio free africa ndio habari ya mjini kwa sasa

Kipindi cha magic fm ni funga kazi asee....kuna dogo mmoja pale huwa anashusha material mpaka unakubali mwenyewe.
 
Bila kumung'unya maneno, kwa sasa kipindi bora cha michezo redioni ni sports HQ cha e-fm.jamaa wanajitahidi sana kuchambua na kwa sasa kina wachambuzi mahili kabisa. Sports extra ni kweli ilikuwa bora lakini kwa sasa wanazidi kuporomoka
Naunga mkono hoja
 
Ukiona mtu anaponda sports extra ujue huyo ana tatizo Fulani,sababu sijui kama kuna radio yoyote wanayo chambua michezo vizuri zaidi ya clouds.huo ndiyo ukweli halisi
Unasikilizaga vipindi vya sports radio zipi?
 
M huwa nawaelewa vizuri start Tv habari za kimataifa na michezo, nadhan apo hawana wapinzani
Hahahaha mkuu na kile kibonzo chao nadhani kwa michezo azam anaanza wao wanafatia kisha Amri Masare
 
ѕαιv ĸυnα vιpιndι vyα мιcнezo вαѕ.....ĸιpιndι ĸιnα ѕαα 1 ĸιnαgαωαnyωα ιv
dĸ 20 тαтυ мzυĸα
dĸ 10 вιĸo
dĸ 10 ĸιмαтαιғα
dĸ 10 ĸιтαιғα
dĸ 2 vodαcoм
dĸ 2 αιrтel
dĸ 1 jιngo
dĸ 5 мвωιgα αnαιngeα nα dιvα ѕαѕα ĸυnα ĸιpιnd αpo ѕι вolα nιѕιĸιlιze genge lα eғм
 

Sports Extra wanaweza kuwa vizuri, lkn ujuaji, kuendekeza bifu na majungu imekuwa kawaida kwao. Matokeo yake objectivity inapungua.
 
Rfa wamekua Wanaungaunga tuu. Ikipotea inarudi baada ya miezi kadhaa
 
Sports extra inabidi wajitazame upya sasa hivi hawana msisimko mtaani kama mwanzo
 
Shafii toka nigundue kuwa anajifanya yeye ndie anaejua kila kitu na hataki kupingwa mtazamo wake na kuonekana kutoku-appreciate mitazamo ya wengine, hizo takwimu zake huwa sina muda nazo niko kwa kitenge.
 
!
!
Mtoa mada utakuwa sisiem tu au mtu usiyejulikana. Unaanzaje kusikiliza Radio Free Africa? Hivi kwanza ipo hii radio kweli bado.
 
Shaffih badala achambue mpira ana translate habari za goal.com na B/R mambo yote yapo Sports Headquaters home of sports Tanzania ndioooooooo
 
Kweli mkuu, ila wanatakiwa watumie kiswahili tu kinatosha maana hadhira kubwa ndio yenye lugha hiyo.
 
I
Ukiona mtu anaponda sports extra ujue huyo ana tatizo Fulani,sababu sijui kama kuna radio yoyote wanayo chambua michezo vizuri zaidi ya clouds.huo ndiyo ukweli halisi
Itakua unatatizo binafsi... Umeelewa nilichomaanisha au
 
Kipindi cha magic fm ni funga kazi asee....kuna dogo mmoja pale huwa anashusha material mpaka unakubali mwenyewe.
Yaap yule jamaa anajua balaa.....nahis n george njenge sijui......na kilumanga wanatema madini balaa......sema watu wana wa underrate....
 
Ila kipindi hiki cha michezo si cha kishamba!

Wacha kukalilishwa dogo
Yaani mi unaniita dogo,unajua mi nakuzidi au nafaa kuwa kaka yako wa kukuzidi mara ngapi?
Hilo halipingiki RFA kwa ujumla wake na vipindi vyote ni vya kishamba RFA ya kipindi kile ya kina Gabriel Yotam,Peter Omary na Mkamiti Juma ndon ilikuwa ya kijanja.......baadae ndo wakaja kina Gondwe.
Ujue nyie vijana mlomaliza form 4,form 6 na vyuo juzi mmekuja kuiharibu sana JF siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…