Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaBila kumung'unya maneno, kwa sasa kipindi bora cha michezo redioni ni sports HQ cha e-fm.jamaa wanajitahidi sana kuchambua na kwa sasa kina wachambuzi mahili kabisa. Sports extra ni kweli ilikuwa bora lakini kwa sasa wanazidi kuporomoka
Unasikilizaga vipindi vya sports radio zipi?Ukiona mtu anaponda sports extra ujue huyo ana tatizo Fulani,sababu sijui kama kuna radio yoyote wanayo chambua michezo vizuri zaidi ya clouds.huo ndiyo ukweli halisi
Hahahaha mkuu na kile kibonzo chao nadhani kwa michezo azam anaanza wao wanafatia kisha Amri MasareM huwa nawaelewa vizuri start Tv habari za kimataifa na michezo, nadhan apo hawana wapinzani
Acha utani mkuu, sport extra huwez fananinsha Na vitu vya....
RFA Hata kwa sport headquarters haitii maguu kwanza Ahmed Alii yuko peke ake means akikosekana kipindi hakinogi
Lakini Njoo sport extra wapo full, Hata asipokuwepo huezi ona pengo, tukiacha kwa umoja Wao tumchukue mojamoja,
Hivi kwa mfano unaeza mfananisha Shafii Dauda na nani? Au maestro, au lwambano?
Hiyo miamba utaifanisha na Nani.
Sport extra, Kwangu ni the best sijawai ona
Kweli mkuu, ila wanatakiwa watumie kiswahili tu kinatosha maana hadhira kubwa ndio yenye lugha hiyo.Kwa kweli jamaa wanajitahidi sana. Radio Free Africa,tafadhalini tufikishieni salamu zetu za pongezi kwa Ahmed Ally na wenzake kwa uchambuzi wa kina wa michezo. Eneo la kufanyia kazi hasa kwa Gwamaka na Maregesi ni ngeli, grammar inauma mara kwa mara. Wajitahidi kutumia Kiswahili tu inatosha, huku wakikuza uwezo wao wa lugha ya Kigeni
Ila kipindi hiki cha michezo si cha kishamba!Umesema kweli kabisa,RFA ni redio ya kishamba sana
Itakua unatatizo binafsi... Umeelewa nilichomaanisha auUkiona mtu anaponda sports extra ujue huyo ana tatizo Fulani,sababu sijui kama kuna radio yoyote wanayo chambua michezo vizuri zaidi ya clouds.huo ndiyo ukweli halisi
Yaap yule jamaa anajua balaa.....nahis n george njenge sijui......na kilumanga wanatema madini balaa......sema watu wana wa underrate....Kipindi cha magic fm ni funga kazi asee....kuna dogo mmoja pale huwa anashusha material mpaka unakubali mwenyewe.
Yaani mi unaniita dogo,unajua mi nakuzidi au nafaa kuwa kaka yako wa kukuzidi mara ngapi?Ila kipindi hiki cha michezo si cha kishamba!
Wacha kukalilishwa dogo