Kipindi Bora zaidi cha Television na Radio Tanzania...

8.Mahokaaaa
9.Pwagu na pwaguzi
10. mkoa kwa mkoa
 
1.sitasahau ya Rfa kabla ya 2010
2.kuna kipindi nimesahau jina kilikuwa kinaanza saa 2-3 asubuhi kabla ya sitasahau pale Rfa mtangazaji akiwa rebecca mresi au Roy maganga
Kinaitwa Ushauri wako
 
Aisee hivo vipindi vilikuwa na manufaa sana na vinaelimisha mno
 
Kwa TV vipo vingi sana asee;The Bar Tender,Planet bongo,Kwachee on the Street,Refresh,Point 3,5 selekt,E-newz.....Pia vya Redio ni vingi;XXL,Planet bongo,Power breakfast,Jahazi,Ubaoni,Genge,Shujaaz,Niambie,Clouds FM Top20,Show Time new chapter,The Cruise,Sitasahau,Je huu ni Uungwana??
 
Kwa upande wa redio Ni block 89 ya wasafifm kwa upande wa tv ze comedy ya east Africa tv
 
Kipindi cha Jahazi, Mawingu fm
By Gadner G Abbash + Ephraim Kibonde (r.i.p)
 
1.sitasahau ya Rfa kabla ya 2010
2.kuna kipindi nimesahau jina kilikuwa kinaanza saa 2-3 asubuhi kabla ya sitasahau pale Rfa mtangazaji akiwa rebecca mresi au Roy maganga
kipindi cha ushauri wako
 
The cruise EA Radio,
Show time Kidbway RFA
Bongo fleva Dj fetty Clouds Fm
Power Jam Sam missago EA Radio
 
Show time -RFA (enzi za kina kid bway)

Mkasi EATV
 
Nyimbo bora duniani- RFA
Mtangazaji Lazaro Matalange
Cruise alikuwa anaifanya Steve Kabuye
Kiss colabo ya ezden the rocker.
Baada ya hapo vpnd vya siku hizi vya kawaida saaana.
Hivi Lazaro Matalange yupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…