Kipindi cha ala za roho clouds fm

Kipindi cha ala za roho clouds fm

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,604
I hope hamjambo wajameni!

kuna hiki kipndi cha ala za roho cha clouds fm kinachorushwa usiku, sina hakika kama ni kila siku, mbona mimi naona kama jamaa wanvuka mipaka, maana hata kama nia ni kufundisha sielewi ni nini hasa maudhui ya kipindi, sikumbuki majina ya watangazaji lakini kuna mdada na mkaka aisee maneno wanayoongea humo ni balaa tupu, au ndio ubunifu wa kisasa? nisaidieni jamani maana kusema keli mimi kinanikwaza.

Nomba kuelimishwa na waliobahatika kukisikia
 
Kwakuwa wewe umeshakisikiliza hicho kipindi,basi tujuze, wanaongea mambo gani? Ya mbinguni ama ya duniani? na kwanini uguswe namna hiyo?
 
I hope hamjambo wajameni!
kuna hiki kipndi cha ala za roho cha clouds fm kinachorushwa usiku, sina hakika kama ni kila siku, mbona mimi naona kama jamaa wanvuka mipaka, maana hata kama nia ni kufundisha sielewi ni nini hasa maudhui ya kipindi, sikumbuki majina ya watangazaji lakini kuna mdada na mkaka aisee maneno wanayoongea humo ni balaa tupu, au ndio ubunifu wa kisasa? nisaidieni jamani maana kusema keli mimi kinanikwaza,. Nomba kuelimishwa na waliobahatika kukisikia
Clouds haifiki kona zote nchini...
Ungesaidika zaidi kama ungesema hayo maneno yenye utata.
Zingine zinaishia Magomeni!
 
Nafikiri watu wenye umri kama wa huyo mtangazaji ndio huwa washabiki wake wengi she's around 23 kama sikosei
 
Lakini pamoja na kukukwaza bado unaendelea kukisikiliza?
Kwanini usizime radio au badilisha station?
 
Kwakuwa wewe umeshakisikiliza hicho kipindi,basi tujuze, wanaongea mambo gani? Ya mbinguni ama ya duniani? na kwanini uguswe namna hiyo?

Wanaongea mambo ya kidunia pasipo kutumia hata tafsida! Najiuliza hv shule walikwenda kufanya nini! Mm naona hk kpind hakifai kabisa! Mbona wazazi wetu walienjoy love hapo kitambo pasipokujifunza kwenye maradio wala magazeti? Je wao ndo wametumwa kuwafundisha watu mapenzi? Wasijifanye wajuaji!
 
Mfano kidogo?Wengi hatujawahi kusikiliza!
 
Asante Kagarara, umenisaidia sana hawana maneno mbadala ya ktumia ilil kulinda heshima walau kidogo

kwanza asanteni kwa kunikumbusha kwamba Clouda haifiki sahenu zote

sasa nisikilizeni kwa makini mnikoseo wakubwa

1. kwa mfano mtu anasema 'ile dog style ndio sawa lakini wanashauri eti people dont have to push the d**k too deep (nalazimika kuficha maneno kidogo hapa mnielewe jamani) you know when you do that you hurt the girl. that thing has to hang

2. ukimkamata demu kuna style nyingine eti unashika **** moja huku na jingine huku halafu unaiona nanihii yote hapo unaanza ku-pump eti wao wanasema ndio mzuka.

3. mmoja akasema eti safarini watu wakienda kuchimba dawa huwa wana f**k huko huko maporini, mdada ana suport kwa kusema hizo za porini huwa ni tamu sana.

4. Halafu jamaa akasema eti ukivuta bangi halafu uka-sex hasa mwanamke naye akiwa amevuta raha yake haina mfano, sasa hapa tunashauriwa nini sijui.

5. mimi ilibidi niendelee kusikiliza angalau kidogo ili nipate cha kusema sasa kama ningezima radio au kuhama channel ningewajibu nini hapa?

Huku hatuna umeme na laptop yangu imeisha charge lakini kwa uchache ndio hayo, jaribuni kusikiliza na ninyi nia ni kuweka mambo sawa. Maana naona huu ushindani sasa uttaupeleka pabaya, lakini wao wanamsifia mbunifu wa kipindi sebastian Maganga, nadhani mwenywe hajasikia jinsi kinavyoendshwa, lazima ange-mind tu kama ni mstraarabu maana hata jamii forum tumetahadharishwa kuhusu matumizi ya maneno makali kupita kiasi. nakaribisha hoja na smahani kama nime waboa.
 
I hope hamjambo wajameni!
kuna hiki kipndi cha ala za roho cha clouds fm kinachorushwa usiku, sina hakika kama ni kila siku, mbona mimi naona kama jamaa wanvuka mipaka, maana hata kama nia ni kufundisha sielewi ni nini hasa maudhui ya kipindi, sikumbuki majina ya watangazaji lakini kuna mdada na mkaka aisee maneno wanayoongea humo ni balaa tupu, au ndio ubunifu wa kisasa? nisaidieni jamani maana kusema keli mimi kinanikwaza,. Nomba kuelimishwa na waliobahatika kukisikia

Badilisha stesheni.
 
Mh!
Sijui TCRA nao huwa wamelala ama...!!!
 
I hope hamjambo wajameni!
kuna hiki kipndi cha ala za roho cha clouds fm kinachorushwa usiku, sina hakika kama ni kila siku, mbona mimi naona kama jamaa wanvuka mipaka, maana hata kama nia ni kufundisha sielewi ni nini hasa maudhui ya kipindi, sikumbuki majina ya watangazaji lakini kuna mdada na mkaka aisee maneno wanayoongea humo ni balaa tupu, au ndio ubunifu wa kisasa? nisaidieni jamani maana kusema keli mimi kinanikwaza,. Nomba kuelimishwa na waliobahatika kukisikia

Mkuu ni kweli icho kipindi kipo kushoto kushoto kulingana na maadili ya kitz. Nafikiri wasikilizaji wake wengi ni vijana under 30. Ukiona hivyo ujue you were on a wrong channel. Kwa usiku nakushauri usikilize Radio Free Afrika hawana maneno mengi ni miziki ya enzi izo tu.
 
Nakubali ushauri wako Mathias RFA huwa nasikiliza sana tu mkubwa ni burudani for sure
 
Mkuu ni kweli icho kipindi kipo kushoto kushoto kulingana na maadili ya kitz. Nafikiri wasikilizaji wake wengi ni vijana under 30. Ukiona hivyo ujue you were on a wrong channel. Kwa usiku nakushauri usikilize Radio Free Afrika hawana maneno mengi ni miziki ya enzi izo tu.

Mi hapo ndo nachoka na watanzania wenzangu. Maadili ya kitanzania ni yapi hayo?
 
sijajua hicho kipindi kinarushwa kuanzia saa ngapi na sheria ya TCRA inasema matusi la lugha chafu zianze kurushwa kuanzia saa ngapi usiku
ila cha msingi ni hiyo lugha na maneno yanayotumika ukilinganisha na tamaduni tulizonazo. Pia nahisi kama hawa TCRA nao wamelala sana au sijui wanahongwa...sasa kama watu wanasema bangi inafanya mchezo kuwa mtamu, hawachelewi kutufundisha mambo mengine ya kipuuzi kama kulana tigo! useless
 
I hope hamjambo wajameni!
kuna hiki kipndi cha ala za roho cha clouds fm kinachorushwa usiku, sina hakika kama ni kila siku, mbona mimi naona kama jamaa wanvuka mipaka, maana hata kama nia ni kufundisha sielewi ni nini hasa maudhui ya kipindi, sikumbuki majina ya watangazaji lakini kuna mdada na mkaka aisee maneno wanayoongea humo ni balaa tupu, au ndio ubunifu wa kisasa? nisaidieni jamani maana kusema keli mimi kinanikwaza,. Nomba kuelimishwa na waliobahatika kukisikia

nawewe bwana acha kutupigia kelele, nani kakutuma kusikiliza hiyo redio?? umekwazika afu bado unaendelea kuisikiliza umetumwa?? siku hizi kuna redio nyingi tuu Tanzania nzima ziko zaidi ya mia inategemea tuu uko wapi...unaweza tune to ukerewe fm,mwanjerwa free radio, redio usalule fm, isimani fm, wanzuki fm, ushetu fm, ulowa fm, nsunga fm, n.k...n.k..kama kipindi hakifai waachie tcra watadeal nao, isijekuwa unaleta chuki zako binafsi hapa..
 
Bob Giza uko gizani,
mimi silalamiki kwa ajili yangu, ni kwa ajili ya mwenendo mzima kwani unafikiri TCRA watapata wapi taarifa kama sio kwetu wasilizaji, bei ya petroli ikipanda wanaonnza kulalamika ni EWURA si wao wanawaskiliza walaji wewe vipi bwana, halafu suala la chuki binafsi linakujaje hapa, kwa hiyo wewe unaona poa tu haya bwana, kila mtu an uhuru wa kuchagua akipendacho, lakini kumbuka maoni kama haya ndio hutumika kuboresha huduma zote duniani, kwa hiyo DONT TAKE IT PERSONAL MR. BOB DARKNESS
 
Huo sasa ni ubabe

Luka,kile kipindi kiukweli kimewalenga sana vijana hasa wanafunz wa sekondari,ndo wanaokiusudu,mimi binafsi sijaona wapi kinajenga,kime-wasegment watu wa rika fulani ambao,ambao naomba unielewe ambao hawana au hawapo kwenye ndoa,hata muda kinaoanza saa 4 si muda muafaka sana,lakini je ni kweli wale wanaoendsha show wana taaluma ya hbr?hlo swali nalo 2jiulize,maana hata mi nisiyesomea journalism naujua umuim wa TAFSIDA kwenye media,HAPO NDIPO WADOGO ZETU WANAOFATILIA SHOW HUARIBIKIWA,VBINT VING SANA VNAMPENDA YULE MDADA+MKAKA
 
sijajua hicho kipindi kinarushwa kuanzia saa ngapi na sheria ya TCRA inasema matusi la lugha chafu zianze kurushwa kuanzia saa ngapi usiku
ila cha msingi ni hiyo lugha na maneno yanayotumika ukilinganisha na tamaduni tulizonazo. Pia nahisi kama hawa TCRA nao wamelala sana au sijui wanahongwa...sasa kama watu wanasema bangi inafanya mchezo kuwa mtamu, hawachelewi kutufundisha mambo mengine ya kipuuzi kama kulana tigo! useless

kinaanza 22:00-00:00 HRZ,juma3 had alihamic
 
Lakini pamoja na kukukwaza bado unaendelea kukisikiliza?
Kwanini usizime radio au badilisha station?
angezima au kubadilisha station hasingeweza kuandika haya aliyoandika hapa
 
Back
Top Bottom