Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,604
I hope hamjambo wajameni!
kuna hiki kipndi cha ala za roho cha clouds fm kinachorushwa usiku, sina hakika kama ni kila siku, mbona mimi naona kama jamaa wanvuka mipaka, maana hata kama nia ni kufundisha sielewi ni nini hasa maudhui ya kipindi, sikumbuki majina ya watangazaji lakini kuna mdada na mkaka aisee maneno wanayoongea humo ni balaa tupu, au ndio ubunifu wa kisasa? nisaidieni jamani maana kusema keli mimi kinanikwaza.
Nomba kuelimishwa na waliobahatika kukisikia