[emoji23] [emoji23] [emoji53] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unajichagulia kuku anayekufaa unaweka tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Na pengine unakaa unawaza kuku flan utampata lini
Kuku flan anakunyima kabisa usingizi hulali unamuwaza yeye
Kaka duuh hatar kama ferooz angaliaDuu! Balehe zinasumbua ila zako zimezidi. Mimi nakumbuka niliwahi fungiwa kanga na msichana nkatoka kama demu jioni baada ya kuogopa kutoka. Niliwahi wekwa uvungini na msichana baada bibi kutukuta mchana, Nliwahi Shinda usiku kucha namuwinda mke wa mtu Kesho yake saa sita ndo nkaja kuchezea mapaja yake.
Hayo ni machache katika mengi kibao balehe ni kero japo mpaka sasa hizo tabia zinanisumbua maana tabia ilikuwa kama ya Ferooz hadi msichana unamfanyia raund ya pili ukiwa umesahau kwamba uliwahi mtongoza. Yaani tongoza tongoza ilikuwa kama ya beberu
HahahahaNilitaka kufanya kitu cha kijinga kipumbavu na Cha kishenzi Mpaka leo nkikumbuka Najuta japo kua sikukifanya,. Kwa umri ule niliokua nao sijui uko jera ningeishije.?
Mkumbushe mkuunishatongoza mtu kwa barua na sijajibiwa mpaka leo
Nimeipenda hiiDu nilitokwa na vichuchu kama vya mtoto wa kike huku vinauma nikamuliza mama akanijibu vitaisha tu usijali. Leo baba wa watoto nikimtazama maza najiona bonge la fala na aibu kibao