Kipindi cha balehe yako kituko kipi ukikumbuka huwa unacheka?

Kipindi cha balehe yako kituko kipi ukikumbuka huwa unacheka?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unajichagulia kuku anayekufaa unaweka tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Na pengine unakaa unawaza kuku flan utampata lini
Kuku flan anakunyima kabisa usingizi hulali unamuwaza yeye
[emoji23] [emoji23] [emoji53] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duu! Balehe zinasumbua ila zako zimezidi. Mimi nakumbuka niliwahi fungiwa kanga na msichana nkatoka kama demu jioni baada ya kuogopa kutoka. Niliwahi wekwa uvungini na msichana baada bibi kutukuta mchana, Nliwahi Shinda usiku kucha namuwinda mke wa mtu Kesho yake saa sita ndo nkaja kuchezea mapaja yake.


Hayo ni machache katika mengi kibao balehe ni kero japo mpaka sasa hizo tabia zinanisumbua maana tabia ilikuwa kama ya Ferooz hadi msichana unamfanyia raund ya pili ukiwa umesahau kwamba uliwahi mtongoza. Yaani tongoza tongoza ilikuwa kama ya beberu
Kaka duuh hatar kama ferooz angalia
 
Back
Top Bottom