lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Hello wakuu, nimekuwa ni mfuatiliaji wa hiki kipindi mara nipatapo nafasi. Kimekuwa kinahoji watu wa kada mbalimbali mfano Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu nk.
Shida ni kuwa kipindi hakina ladha kabisa wala mshawasha wowote wale ndugu zetu wa habari kuna kosa gani la kiufundi pale?
Yaani inakuwa kama anayeulizwa maswali alishayapewa hivi, kuna kitu kina-miss.
Sio kwa ubaya ni mtazamo tu.