Kipindi cha Dakika 45 ITV kunani?

Kipindi cha Dakika 45 ITV kunani?

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,557
Reaction score
3,221
Hello wakuu, nimekuwa ni mfuatiliaji wa hiki kipindi mara nipatapo nafasi. Kimekuwa kinahoji watu wa kada mbalimbali mfano Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu nk.

Shida ni kuwa kipindi hakina ladha kabisa wala mshawasha wowote wale ndugu zetu wa habari kuna kosa gani la kiufundi pale?

Yaani inakuwa kama anayeulizwa maswali alishayapewa hivi, kuna kitu kina-miss.

Sio kwa ubaya ni mtazamo tu.
 
Hata wamlete nani hakina hamasa kabisa kimepooza kama mkojo Wa paka..
 
Kilikuwa kizuri wakati yupo seleman SEMUNYU siku hizi nasikia ni kanali wa jeshi
mwezi uliopita nlikutana naye kwenye mashindano ya gofu nadhani ni luteni na siyo kanali mkuu
 
Back
Top Bottom