lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Uliwahi kuunywa?Hata wamlete nani hakina hamasa kabisa kimepooza kama mkojo Wa paka..
Mwenye kipindi alikuwa Emmanuel Buhohela tu, kala shavu yupo jumba jeupe..... hao wengine ni hovyo tu.
mwezi uliopita nlikutana naye kwenye mashindano ya gofu nadhani ni luteni na siyo kanali mkuuKilikuwa kizuri wakati yupo seleman SEMUNYU siku hizi nasikia ni kanali wa jeshi
Nakubaliana na wewe mkuu, Buhohela yes, alikimudu ipasavyo. Sijui yuko wapi sshivi
Sawa mkuuYupo Ikulu (Jumba Jeupe), mwandishi wa habari msaidizi.... Ikulu mawasiliano.
Yuko wapi Emmanuel Buhohela mripoti kampeni za Rais Magufuli ITV?
Hongera Emmanuel Buhohela kwa kazi nzuri Ikulu