Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Kwani wao hawajipendi hadi waseme ni nani aliyekataza mahojiano na Rais Mtarajiwa kutorudiwa? Inajulikana wazi ni nani, hao ITV wameshatishiwa labda wanaweza kunyang'anywa leseni yao kama wakiyarudia.Tuwape kazi nzito ya kuiba kura kwa kuwapigia wabunge wa chadema na Rais Mtarajiwa kwa kishindo
i doght km itarudiwa hii siku mmh, well tusubiri yetumachoHivi mnajua kuwa ITV wamepata msuko msuko sana toka jumamosi? Chadema kimezuia marudio hayo kufanyika leo, na badala yake itakuwa trh 30 jumamosi ....
Hivi mnajua kuwa ITV wamepata msuko msuko sana toka jumamosi? Chadema kimezuia marudio hayo kufanyika leo, na badala yake itakuwa trh 30 jumamosi ....
Hivi mnajua kuwa ITV wamepata msuko msuko sana toka jumamosi? Chadema kimezuia marudio hayo kufanyika leo, na badala yake itakuwa trh 30 jumamosi ....
PART 1
PART 2
PART 3
Hivi Ridhwani ni nani kwenye nchi hii?Taarifa zilizotoka katika chumba cha utangazaji cha ITV zinasema Mda mchache uliopita wamepigiwa simu Joyce Mwavile kuwa wasitishe kukirusha kipindi hicho.
Baada ya kudadisi asubuhi nimeambiwa asubuhi Riziwani alitinga katika ofisi za ITV na kukutana na watu kadhaa. Alipotafutwa Steven Chuwa ambaye alikuwa amelala nakumuuliza habari hizo akajibu kuwa watu hawa wamefanya usanii flani japo hakutaka kuwa wazi.
Baada ya kupiga chumba cha utangazaji wao walikuwa wamepitisha taarifa ya kuomba radhi, Tanzania hii lazima tuikomboe.
Taarifa nyingine muhimu ni kuwa Kikwete anatarajiwa kuwa Live kesho asubuhi Star TV katika jiji la Mwanza kuanzia saa 1:30 kwa kipindi kama alichofanya Dk Slaa. Hizi habari zimekuwa za kificho na tayari amewaamuru watangazaji wa Star TV kutoruhusu maswali magumu, Mtu huyu amekuwa anapanga mpango huu kwa kutokuwa wazi mpaka sasa haijulikani kama itakuwa hivyo.
Ndugu wana JF tujiandae......
ITV, tujulisheni marudio yatakuwa lini? ile Jmosi tuliwapa big-up sana, msituangushe sasa. Hivyo ndio vipindi vyenye soko, mtuambie na kuadvertise kabisa, lini mtafanya marudio.
Marudio yatakuwa Jumapili tarehe 31.10.2010 saa 1 kamili usiku. Wana CHADEMA woooote mnaombwa msikose kutazama.:smile-big: