Kipindi cha furaha kwa mashabiki na wanachama wa Simba.

Kipindi cha furaha kwa mashabiki na wanachama wa Simba.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza.

"Muda wa taarifa kubwa haupo mbali.
Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa kwanza kupata taarifa za klabu. #WenyeNchi #NguvuMoja"

©️ Simba Sports Club official page
 

Attachments

  • FB_IMG_17175935217478905.jpg
    FB_IMG_17175935217478905.jpg
    249 KB · Views: 4
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Masandakolozidad SC.

22. Kufa Kiume SC.

23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza.

"Muda wa taarifa kubwa haupo mbali.
Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa kwanza kupata taarifa za klabu. #WenyeNchi #NguvuMoja"

©️ Simba Sports Club official page
Hawa tu wacheza kwasakwasa 😂
 
Ndiyo msimu wao huu wa furaha kwa kusajili makocha waliofundisha Real Madrid, wachezaji wanaofunga magoli kwa kutumia pua, mabeki wa kutengeneza ukuta wa Yeriko/Berlin!! nk.

Halafu ligi ikianza tu kuchanganya, wanageuka na kuanza kulialia na kutukana watu hovyo.
 
Genge la wahuni with poor management, wakija kushtuka itakuwa too late
 
Back
Top Bottom