Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hawa tu wacheza kwasakwasa 😂Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza.
"Muda wa taarifa kubwa haupo mbali.
Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa kwanza kupata taarifa za klabu. #WenyeNchi #NguvuMoja"
©️ Simba Sports Club official page
Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?