Kipindi cha Hello Mr. Right

Mungu anisamehe labda ni akili yangu tu
Lkn me naona huo ni umalayer
 
Inawezekana ni biashara inafanyika pale...tupate shuhuda za ndoa
No ni tamaa za kimwili tu na wewe ukihitaji na hamu zako za kumwaga nenda ukajichukulie wako ujitosheleze ila ni mapenzi ya kifurushi kikisha expire kila mmoja wenu anajitafutia mwingine tena kwa hio ndio unakua mzunguko huo, ukishamchoka unaenda kumchagua mwingine anaekuvutia ukiulizwa sababu unasema yule hakua na quality zangu nilizohitaji that's how it's
 
Wana ujinga mwingi sana
Sema nini mali sio haramu,upatikanaji wake ndio haramu
 
Madem wa mule ndio Hawa wa Badoo !!!.

Mwanamke mzuri hakoswi Mume.

NARUDIA, MWANAMKE MZURI HAKOSWI MUME.


Sasa unakuta Et Mr Right Mmoja, mademu hata 7 wanamlilia .

Mr Right anachagua wake.

Wale wengine wanaendelea kusubiri Tena .

Sasa hapo ni mapenzi au Mshriki wa Ngono.


Yaan nikm ilivyo humu JF, Dem anaanzisha Uzi kutafuta "Mume".

Wanaume zaidi ya 50 wanaMP.

Anawachujaa kutoka 50 Bora, mpaka 5 yake Bora.

Je hao 5, hamna wa kumla ??? SIO KWELI.


yaan haya Maisha, kikubwa Usiwe serious... Usiwe serious kwenye maigizo kama hayo.

Kama unaenda, wee nenda kutafuta wa kuchapa basi !!
 
Yale ni Maigizo na kuna Script kabisa imeandikwa na kila kinachofanyika pale kimeshakuwa Planned Msidanganyike Watanzania wenzangu ule ni Utopolo mtupu kama Mieleka (WWE)

Mkuu ile issue ni kweli mimi nafanya kazi katika hiyo chanel inayorusha hicho kipindi cha Mr Right
 
Hawana tofauti na makahaba wa barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…