Kipindi cha Hello Mr. Right

Kipindi cha Hello Mr. Right

Nimekutana na kipindi kinarushwa kwenye tv,mtangazaji Ni Mc garab ,lulu diva na wengine.
Wale washiriki wanapatikanaaje?..je Ni bure mrembo unajitokeza tu...na inakuaje mpaka wadada wazuri vile wanafikia hatua ile?
Inaleta picha gani wadada wanamlilia mwanaume Fulani anaejitokeza,na bado wanatafuta mwingine analiona hilo?

Na kuhusu wanaume wanaojiopolea vimwana[emoji16] huwa wanafanyiwa kitu wafike stage nyingine ama ukiopoa ushaopoa mtaelewana mbele?

Mi sijui jamani wanaojua wanijuze.
View attachment 2372730View attachment 2372731
Mungu anisamehe labda ni akili yangu tu
Lkn me naona huo ni umalayer
 
Inawezekana ni biashara inafanyika pale...tupate shuhuda za ndoa
No ni tamaa za kimwili tu na wewe ukihitaji na hamu zako za kumwaga nenda ukajichukulie wako ujitosheleze ila ni mapenzi ya kifurushi kikisha expire kila mmoja wenu anajitafutia mwingine tena kwa hio ndio unakua mzunguko huo, ukishamchoka unaenda kumchagua mwingine anaekuvutia ukiulizwa sababu unasema yule hakua na quality zangu nilizohitaji that's how it's
 
Unapewa kapu tupu bila kujua background yake in short ni mapenzi ya tamaa za kingono sio mapenzi halisi...

Fuatilia waliotangulia kabla basya hao watakupa picha

Hakuna mapenzi hapo ni ngono ngono ngono na tamaa za kimwili wakishagongana kila mtu akaonja radha ya mwenzake anapita njia yake

Cc: bongo nyoso inamankusweke
Wana ujinga mwingi sana
Sema nini mali sio haramu,upatikanaji wake ndio haramu
 
Madem wa mule ndio Hawa wa Badoo !!!.

Mwanamke mzuri hakoswi Mume.

NARUDIA, MWANAMKE MZURI HAKOSWI MUME.

Sasa unakuta Et Mr Right Mmoja, mademu hata 7 wanamlilia .

Mr Right anachagua wake.

Wale wengine wanaendelea kusubiri Tena .

Sasa hapo ni mapenzi au Mshriki wa Ngono.

Yaan nikm ilivyo humu JF, Dem anaanzisha Uzi kutafuta "Mume".

Wanaume zaidi ya 50 wanaMP.

Anawachujaa kutoka 50 Bora, mpaka 5 yake Bora.

Je hao 5, hamna wa kumla ??? SIO KWELI.

yaan haya Maisha, kikubwa Usiwe serious... Usiwe serious kwenye maigizo kama hayo.

Kama unaenda, wee nenda kutafuta wa kuchapa basi !!
 
Yale ni Maigizo na kuna Script kabisa imeandikwa na kila kinachofanyika pale kimeshakuwa Planned Msidanganyike Watanzania wenzangu ule ni Utopolo mtupu kama Mieleka (WWE)

Mkuu ile issue ni kweli mimi nafanya kazi katika hiyo chanel inayorusha hicho kipindi cha Mr Right
 
Nimekutana na kipindi kinarushwa kwenye tv,mtangazaji Ni Mc garab ,lulu diva na wengine.
Wale washiriki wanapatikanaaje?..je Ni bure mrembo unajitokeza tu...na inakuaje mpaka wadada wazuri vile wanafikia hatua ile?
Inaleta picha gani wadada wanamlilia mwanaume Fulani anaejitokeza,na bado wanatafuta mwingine analiona hilo?

Na kuhusu wanaume wanaojiopolea vimwana[emoji16] huwa wanafanyiwa kitu wafike stage nyingine ama ukiopoa ushaopoa mtaelewana mbele?

Mi sijui jamani wanaojua wanijuze.
View attachment 2372730View attachment 2372731
Hawana tofauti na makahaba wa barabarani.
 
Back
Top Bottom