luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau habari za usiku !!
Mbali na mabadiliko waliyo fanya TBC bado kituo hicho kinakosa vipindi vyenye mvuto kabisaa pamoja na watangazaji pia hawana bashasha na haiba.
TBC wana kipindi kinaitwa Jambo Tanzania (Good morning Tanzania) hiki kipindi hivi karibun kimekuwa kina endeshwa kiajabu ajabu ,
Ndani ya studio humo kumewekwa Jiko la kisasa la kupikia sasa kumeibuka mtindo kila mtangazaji akifika kutangaza segment yake basi anatangaza akisha maliza tu anasogea pale jikoni anajihudumia ka chai na maandazi , mara mihogo, kiukweli kina poteza umakinifu. Juzi kuna mtangazaji katikati ya matangazo akaenda jikoni kubeba andazi.
Jaman TBC toeni iyo tabia, vipindi vya asubuh vinatakiwa viwe sensitive sana, viwe na hoja nzito
Sasa mfano leo eti walikiwa wana ulizana kuhusu salamu, eti ukienda pahala ukamkuta watu / mtu nani anapaswa kutoa salamu ...
Jaman TBC badilikeni embu tazameni wenzenu wa Kenya hapo e.g Citizen tv, kipindi chao cha Day break asubuhi mpaka saa 3 ni issues tu kuanzia saa 3 mpaka saa 4 ndio mijadala ya mizaha na pia sports