Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Hadi miaka hii inaisha tutajionea mengiAu unavikusanya na kuhamishia tumbaku kwenye karatasi na kutengeneza sigara moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Noma sanaSio poa mzee
Shughuli IPO mkuuHadi miaka hii inaisha tutajionea mengi
Usishangae ukimuona mtu road anatembea.Shughuli IPO mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au unavikusanya na kuhamishia tumbaku kwenye karatasi na kutengeneza sigara moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au unavikusanya na kuhamishia tumbaku kwenye karatasi na kutengeneza sigara moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wavuta sigara wanashida sana, huwa naona jinsi wanavyohangaika.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kaugonjwa ka kujiendekeza asipopata sigara siku moja roho inatapatapa[emoji23]Wavuta sigara wanashida sana, huwa naona jinsi wanavyohangaika.
Sioni hata la maana juu ya sigara
Sasa mpaka mtu unaokota vipisi vya sigaraWavuta sigara wanashida sana, huwa naona jinsi wanavyohangaika.
Sioni hata la maana juu ya sigara
Mi mzee wangu alikuwa anavuta sigara na akikosa sigara alikuwa akionekana kutaabika mno kiasi kwamba anatupa jukumu la kutafuta vipisi vya sigara alizovuta hata jalalani tulifika, baada ya hapo anaviminya hivyo vipisi na kuweka kwenye karatasi na kutengeneza sigara moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akivuta anafurahi na kusema akili ya kutafuta pesa ndo imerudi sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kaugonjwa ka kujiendekeza asipopata sigara siku moja roho inatapatapa[emoji23]
Niliwahi kuwa na kaugonjwa ka kujiendekeza kula udongo(huku tunauita pemba),nilikua nakula udongo wa 500 na soda kila siku mpaka ikafika chakula nikawa sili ni udongo tu,nilikonda vibaya sana sambamba na kukosa choo.Kuna siku nikakaa tu nikawaza weee hivi kwanini nafanya hivyo,nikaamua kuanza kujifunza kuucha taratibu mpaka nikafanikiwa,japo haikuwa kazi rahisi
AiseeNi kaugonjwa ka kujiendekeza asipopata sigara siku moja roho inatapatapa[emoji23]
Niliwahi kuwa na kaugonjwa ka kujiendekeza kula udongo(huku tunauita pemba),nilikua nakula udongo wa 500 na soda kila siku mpaka ikafika chakula nikawa sili ni udongo tu,nilikonda vibaya sana sambamba na kukosa choo.Kuna siku nikakaa tu nikawaza weee hivi kwanini nafanya hivyo,nikaamua kuanza kujifunza kuucha taratibu mpaka nikafanikiwa,japo haikuwa kazi rahisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mpaka mtu unaokota vipisi vya sigara
Si Uchizi... Ndio unavyoanzaga hivyo! Kama wale waokota chupa za maji barabarani baada ya miezi kadhaa hata nguo zao awafui, nywele awachani noma sana
[emoji23] [emoji23] haya ni matatizo kwa kweliMi mzee wangu alikuwa anavuta sigara na akikosa sigara alikuwa akionekana kutaabika mno kiasi kwamba anatupa jukumu la kutafuta vipisi vya sigara alizovuta hata jalalani tulifika, baada ya hapo anaviminya hivyo vipisi na kuweka kwenye karatasi na kutengeneza sigara moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akivuta anafurahi na kusema akili ya kutafuta pesa ndo imerudi sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] huu msemo wako huuAisee