Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Mi zishanishinda kabisa!![emoji23] [emoji23] haya ni matatizo kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi zishanishinda kabisa!![emoji23] [emoji23] haya ni matatizo kwa kweli
Duuh! Alifika sehemu mbaya sanaMi mzee wangu alikuwa anavuta sigara na akikosa sigara alikuwa akionekana kutaabika mno kiasi kwamba anatupa jukumu la kutafuta vipisi vya sigara alizovuta hata jalalani tulifika, baada ya hapo anaviminya hivyo vipisi na kuweka kwenye karatasi na kutengeneza sigara moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akivuta anafurahi na kusema akili ya kutafuta pesa ndo imerudi sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmh! Pole mno wanguNi kaugonjwa ka kujiendekeza asipopata sigara siku moja roho inatapatapa[emoji23]
Niliwahi kuwa na kaugonjwa ka kujiendekeza kula udongo(huku tunauita pemba),nilikua nakula udongo wa 500 na soda kila siku mpaka ikafika chakula nikawa sili ni udongo tu,nilikonda vibaya sana sambamba na kukosa choo.Kuna siku nikakaa tu nikawaza weee hivi kwanini nafanya hivyo,nikaamua kuanza kujifunza kuucha taratibu mpaka nikafanikiwa,japo haikuwa kazi rahisi
Hatari sana!Aisee
Unawehuka kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Addiction mbaya sana, mi zilishanishinda aisee!Duuh! Alifika sehemu mbaya sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unawehuka kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sana na wewe una bahati kweli na huo udongo, uliokuwa unaula! Ni hatari kwa afya![emoji23] [emoji23] haya ni matatizo kwa kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vyuma havielezeki kwa sasa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Wehu si wataongezeka!Hiyo ni mpaka 2025
Duuh! Kilema kweli ikowavuta sigara wana tabu sana nakumbukaga siku moja tupo shamba sasa gari iliaribika ya kuja tuchukuwa kwahio ikabidi tulale shamba mpk kesho yake, mfukoni nilikuwa na buku tu kwa vile tulibaki wawili shamba nikaona tugawane jero jero, tukaanza safari ya kutafuta duka ile tumefika dukani mm nikanunua maziwa ya 250 na maandazi ya 250 wakati nakula kuja taamaki mwenzangu kanunua sigara eti anasema bora alale njaa kuliko kukosa sigara
Wavutaji kazi wanayoAiseee baadhi ya wanaume hamna vinyaa si kama mnakula denda tu hapo kwenye kugongea vipisi