Kipindi cha kuokota vipisi vya sigara ndio hiki

Duuh! Alifika sehemu mbaya sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmh! Pole mno wangu
 
wavuta sigara wana tabu sana nakumbukaga siku moja tupo shamba sasa gari iliaribika ya kuja tuchukuwa kwahio ikabidi tulale shamba mpk kesho yake, mfukoni nilikuwa na buku tu kwa vile tulibaki wawili shamba nikaona tugawane jero jero, tukaanza safari ya kutafuta duka ile tumefika dukani mm nikanunua maziwa ya 250 na maandazi ya 250 wakati nakula kuja taamaki mwenzangu kanunua sigara eti anasema bora alale njaa kuliko kukosa sigara
 
Duuh! Kilema kweli iko
 
Jela watu wanakwanguliwa tigo kwa cigarette
 
Aiseee baadhi ya wanaume hamna vinyaa si kama mnakula denda tu hapo kwenye kugongea vipisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…