Kipindi cha Logaloga CItizen TV Kenya, hongereni sana

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
7,808
Reaction score
16,972
Jirani zetu Hongereni sana kwa ubunifu,
Kwa program za runinga, nawapa salute,
TBC mpo wapi? mnatia aibu!

CItizen wamegonga zilipendwa za Kina Chidumule mpaka raha,

TBC kazi iliyopo ni kusifia tu CCM. What a shame.

Bravo CITIZEN!!
 
Yaani mnaangalia hadi rogaroga? Wakenya hawajui chaneli za bongo. Hata tuusan na wabongo wengine wanafuatilia vipindi vya maisha magic East
 
Jirani zetu Hongereni sana kwa ubunifu,
Kwa program za runinga, nawapa salute,
TBC mpo wapi? mnatia aibu!

CItizen wamegonga zilipendwa za Kina Chidumule mpaka raha,

TBC kazi iliyopo ni kusifia tu CCM. What a shame.

Bravo CITIZEN!!
Kwanini usitizame TBC 2 na ina vipindi kibao vya entertainment ikiwemo vipindi vya nyimbo za Zilipendwa?
 
Vipi kipindi cha mama kayai na mzee ojwang bado kinaonesha?
 
Huyo jamaa ni bwege TBC1 kila jumamos kuna kipindi cha zili pendwa kuanzia saa 12 jioni tena kina wahoji wahusika aswaa..
Kwanini usitizame TBC 2 na ina vipindi kibao vya entertainment ikiwemo vipindi vya nyimbo za Zilipendwa?
Nadhani mwenzenu alichoshwa na quality mbovu ya picha na kamera zao za enzi za Vasco Da Gama. Au labda hawaamini
TBCCM kwenye mambo ya zilizopendwa kwasababu wana utamaduni wa kuchemsha hadi kwenye masuala msingi, kama jina na picha ya rais wao.
 
Nadhani mwenzenu alichoshwa na quality mbovu ya picha na kamera zao za enzi za Vasco Da Gama. Au labda hawaamini
TBCCM kwenye mambo ya zilizopendwa kwasababu wana utamaduni wa kuchemsha hadi kwenye masuala msingi kama jina na sura ya rais wao.
Lini uliangalia TBC ukaona quality yake?
Akili fupi.
 
Una kaa slum gani Nairobi?
 
kiukweli jaman ktk sekta ya media majirani zetu luninga zao ziko poa sanaaa isipokuwa wale KBC nao wanatembelea uu ya torori ila tv kama CITIZEN, KTN hasa citizen jamaa ni fire kabisaaa binafsi navutiwa sanaa na baadhi ya vipindi vyao hasa kile cha asubuhi #day break hususani cha alhamisi unakutana na mpishi chef Al mandry ...then jamaa wanakuwaga na documentary zao nzuri za matukio ....then mfano mwingine mdogo ni wa yule jamaa steve aliyelia siku ile Simba tulipo mpiga Yanga goli 5 . kuna mwanahabari alisafiri toka kenya mpaka dsm kua kumuhoji steve ..yaan waandishi wa habari wa kenya ni wanafuatilia mambo.. isitoshe hata last week citizen walikwenda semunge kwa babu waliandaa taarifa fulan ambayo kiukweli wana fanya POA I give the big 5
 
Jaribu pia NTV na k24 wapo Sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…