kiukweli jaman ktk sekta ya media majirani zetu luninga zao ziko poa sanaaa isipokuwa wale KBC nao wanatembelea uu ya torori ila tv kama CITIZEN, KTN hasa citizen jamaa ni fire kabisaaa binafsi navutiwa sanaa na baadhi ya vipindi vyao hasa kile cha asubuhi #day break hususani cha alhamisi unakutana na mpishi chef Al mandry ...then jamaa wanakuwaga na documentary zao nzuri za matukio ....then mfano mwingine mdogo ni wa yule jamaa steve aliyelia siku ile Simba tulipo mpiga Yanga goli 5 . kuna mwanahabari alisafiri toka kenya mpaka dsm kua kumuhoji steve ..yaan waandishi wa habari wa kenya ni wanafuatilia mambo.. isitoshe hata last week citizen walikwenda semunge kwa babu waliandaa taarifa fulan ambayo kiukweli wana fanya POA I give the big 5