Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Habari za maisha wakuu,
Kile kipindi kilichowahi kujizolea umaarufu kupitia television ya taifa miaka ya nyuma kidogo kilichojulikana kama Maisha Plus ukiwa ni ubunifu wa mchora katuni na mtangazaji maarufu Masoud Kipanya KP sasa kuanza kuruka hewani tena hivi karibuni ingawa haijawekwa wazi itakuwa kupitia kituo gani. Lakini sasa kinakuja na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu!
Ikumbukwe kipindi hiki ndio chanzo cha kuonekana kwa Mh Upendo Furaha Peneza ambaye sasa ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.
Haya vijana fursa ya kujifunza, kuonekana na kupata fedha hii hapa.